Recent content by zunya ishile

  1. Z

    Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

    Swali lingine la kujiuliza kulikuwa na haja gani ya kuweka zile kona kali km za kitonga pale kimara mwisho..hadi sasa scania mbili zimeshaanguka na kuua..strabag wanafunga barabara ovyo wanaongeza foleni ovyo
  2. Z

    Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

    Lorin..kumbe ndo ww ulikuwa umelala kwenye daladala jana...oopssss natania...! Ebana mie nilipanda ubungo saa 11 kufika over saa 2:30,sasa nina mpango wa kuacha kodi ya miez 3,hii kweli laana
  3. Z

    Nikifika Tz inshallah kitu cha kwanza ni kuipiga kibiriti kadi CHADEMA

    Pale surname yako inapotumika km ID ya mtu..hatari sana
  4. Z

    Ahsante serikal kwa ajira za walimu 2014.

    you r proving how much failure u are .
  5. Z

    Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Na ni mangapi CDM wamepinga lkn yamepitishwa, au kiu yenu ni kusikia wanasema nn, tuache siasa za kupimana kwa mtindo huu...NO ONE IS 100% PERFECT. Jitambue CCM kuna madudu mangap lkn bado unakishabikia.
  6. Z

    M4C-OPD: CHADEMA Yafanya mikutano 87 mikoani ndani ya wiki moja

    We differ in ideology..Nyie mna mawazo ya kuwa chama kikuu cha ipinzan,Sisi tuwaza kuchukua nchi..You are no longer our competitor, try CCM.
  7. Z

    Asante Mama Gaudensia Kabaka, Erolink walinigombanisha na Mpenzi wangu

    dem wa misoto,shida na raha changamoto hana! #NICK II. Naanza sasa kumuelewa LINEX haya majina ya Halima inaonekana hawapendi misoto kabisa! Ndo akina Manka wa kichaga hawa.
  8. Z

    Maoni yenu kuhusu fact hizi juu ya matumizi ya condom(s)

    kwenye majimaji hapo ndo balaah..dah yaan baada kusoma uzi huu..kila dem naona maji maji
  9. Z

    Biashara ya salon za kiume na kike

    acha viroba mchana mchana...km huna mchango pita tu
  10. Z

    Biashara ya salon za kiume na kike

    hata mie nahitaji wadau karibun
  11. Z

    Naomba Kufahamishwa Kuhusiana na Jeshi La Zimamoto

    point of correction..maelezo uliopewa ni kwa wale wa form six..kwa degree holder nafas ya kompyuta ya sayans ambayo ni sawa na IT yako post ni assistant inspector.pia utume kwa katibu mkuu na sio kamishna jeneral sina gazet karib hapa..daily newz trh 21 jan.hop somehow it wl help
  12. Z

    Jeshi la zima moto na uokoaji latangaza ajira leo trh 21/01/2014.

    JESHI LA ZIMA MOTO NA UKOAJI LATANGAZA AJIRA KWA VIJANA WENYE UHITAJI. 1.MKAGUZI MSAIDIZI WA ZIMA MOTO NA UOKOAJI - NAFASI 103. 2. SAJINI WA ZIMA MOTO NA UOKOAJI - NAFASI 190. 3. KONSTEBO WA ZIMA MOTO NA UOKOAJI - NAFASI 507. Source:daily news tuesday january 21,2014. NB. deadline:01/02/2014.
  13. Z

    Masahihisho: Halijatangazwa Baraza Jipya la Mawaziri!

    "..wapigwe tu" Mtoto wa mkulima wala hajaguswa..tutapigwaje mwaka huu
Back
Top Bottom