Biashara ya salon za kiume na kike


Mkwanga

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Messages
137
Points
195
Mkwanga

Mkwanga

Senior Member
Joined Dec 6, 2010
137 195
Jaman naomba mwenye kufahamu gharama ya kufungua saloon ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani naumba mnisaidie....

Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000
2.kiti cha scrub @1, 500, 000
3.fetlizer @350, 000
4.machine za kunyolea 150, 000
5.tv and radio
6 .air port chair @500, 000
Hii ndio rougly bajet km frame ipo poa mean ac, vioo
So Saloon ni Salon
Kuna kipindi kumwabia mtu ukweli nakuwa ngum sana ila inabidi.
Hakuna Salon nzuri kama unavyotaka kwa milioni mbili.
Sema nataka Salon ya kwaida uswaznigga hapo sawa.
Maana mfumo wa sasa ni Full aluminum,na mlango wa aluminium si chini ya milioni moja,bado hujaingia ndani kufix.

Unajua pesa kuitamka unaona no nyingi lakini ukiingia kwenye mipango ni ndogo sana,usije ukakurupuka kisha ukaja kukwama na mtaji ukaganda.
Nakushauri fungua Salon ya kawaida tu,weka mlango wa mbao,viti vya mbao,weka feni ya kiushkaji hapo itakutoa.

Lakini ukitaka makuu hiyo pesa ni ndogo sana.
Mtu wa kufanya scrub mara nyingi hakuna malipo ya mwezi,huwa analipwa kwa kila kichwa,tatizo ni kwamba ukianza kutafuta mtu aisemjuzi badso hapo biashara itakula kwako,wateja watakimbia,alikni kama ukitafuta mdada mzuri wa kazi hiyo basi unaweza kukuta hata mtu kama hajanyoa hapo anaweza kujakufanya scrub
1.6m +..
Kiti cha kawaida kariakoo 450000
Front frame pamoja na mirror 400000
Resting chair vya wateja 200000
Machine mbili 220000
Vioo vya nyuma na pembeni 150000 pamoja na frame
Vitambaa vitano au sita 120000
Mengineyo 100000
Kodi ya frame inategemea na location ila sehem nyng ni 50000 per month


Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kimboka one

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2010
Messages
734
Points
170
K

kimboka one

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2010
734 170
saloon ni ya gari.hiyo inaandikwa salon au andika kwa kiswahili saluni
 
C

criticizer

New Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
2
Points
0
C

criticizer

New Member
Joined Dec 14, 2012
2 0
Nataka kuanzisha biashara ya salon za kiume na kike, nifanye nini ili niweze kuhimili kwenye ushindani wa kibiashara hapa tz hasa mikoani kama moro?
 
didii

didii

Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
74
Points
95
didii

didii

Member
Joined Mar 25, 2011
74 95
habari zenu wadau, nafikiria kujiajiri kwa kufungua saloon ya kike,naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie ushauri naweza nikaanzia na mtaji wa shilingi ngapi ?
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,823
Points
2,000
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,823 2,000
nakushauri uingie dukani uulizie bei ya madraya, mastima, marolazi then jumlisha. uingie duka la furniture uangalie kama utahitaji sofa kubwa na viti kutegemea na ukubwa wa saloon yako upate gharama zake. tafuta location ujue na garama ya rent. baada ya hapo jumlisha vyote. usisahau kuingia madukani kuangalia gharama za madawa ya nywele, vitana, vioo, shampoo na mazaga zaga mengine ya muhimu kwa saluni.
pia kuna gharama za awali kama za kufix vioo, kuchora jina la saluni, rangi etc. ukifanya yote hayo utajua unahitaji kiasi gani.
 
L

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
857
Points
500
L

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
857 500
habari zenu
wadau, nafikiria kujiajiri kwa kufungua saloon ya kike,naomba kwa
mwenye uzoefu anisaidie ushauri naweza nikaanzia
na mtaji wa
shilingi ngapi ?
hakikisha unajua kazi za saluni hasa kusuka cz ma hair dresser weng ni pasua kichwa. kifupi utapata shida ikiwa unategemea kuajiri huku wew hujui kitu.
 
Neanne

Neanne

Member
Joined
Apr 23, 2013
Messages
24
Points
0
Neanne

Neanne

Member
Joined Apr 23, 2013
24 0
Habari wanajamvini?

Naomba mchanganuo wa biashara ya salon ya kike.

Asanteni
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,487
Points
1,500
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,487 1,500
Duh...
Kwanza kabisa location does matter. Ushapata eneo lenyewe ambalo ni convenient?
Tuanzie hapo kwanza
 
Kimbakuli

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Messages
366
Points
500
Age
29
Kimbakuli

Kimbakuli

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2013
366 500
Mtaji wako wa kuanzia(initial capital) ni kiasi gani? unahitaji mpango wa biashara (business plan) au? if yes check me
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,371
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,371 2,000
Habari za mchana wandugu,

Nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.

Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani

Shukrani za dhati.
 
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
2,203
Points
2,000
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
2,203 2,000
mimi ninayo ya kawaida mtaji kama m3.{kodi inclusive
aisee ni bungua bongo....wananipa 60 kwa wiki!
mwanzoni ni lazima uwe karibu kuangalia mapato!
Pili,vijana wengi sana wanaofanya kazi hiyo upeo wao ni mdogo mno wana tamaa na hawaaminiki ...umakini wa hali ya juu unahitajika kuwachagua na kuwafuatilia
Hata hivyo ukiridhika inafaa kupatia hela ya mboga za majani
 
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Points
1,500
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 1,500
Mimi nimeshawaza kufanya high ending barber. Yaani hair cut kwa kichwa not less than 8000. Jee mnadhani hii inawezekanika? Nataka kusaka location either mitaa ya Morroco/ Kinondoni au upanga. Ninaposema high ending naamanisha high ending include valet parking.

Jee mnadhani hili linawezekanika? Jee kuna uwezekano wa kupata 20 customers a day?
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
Mimi nimeshawaza kufanya high ending barber. Yaani hair cut kwa kichwa not less than 8000. Jee mnadhani hii inawezekanika? Nataka kusaka location either mitaa ya Morroco/ Kinondoni au upanga. Ninaposema high ending naamanisha high ending include valet parking.

Jee mnadhani hili linawezekanika? Jee kuna uwezekano wa kupata 20 customers a day?
inawezekana ila uweke na warembo wazuri wa kuosha kichwa cha mteja.

kwa sehemu ulizotaja kwa bei hiyo sawa lakin kwa 8000 ukaweka mbagala, manzese, tandale, mburahati, yombo etc jua utakula za uso.
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
kama ni ya kawaida sana yani ya hali ya chini tu waambie kwa wik wakupe 70,000.

kama ni ya kati wakupe 100,000 kwa wiki
 
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Messages
7,523
Points
2,000
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2013
7,523 2,000
kwa maana ya High ending,ni kwamba customers zaidi ya 20 utapata.

Watu Dar wanajipenda,na pesa mji huo ipo kwa wanaojijali.

Halafu sidhani kama Dar kuna Home Services.
Jaribu kuwa mbunifu juu ya hili.
Tafuta boda boda kama nne hivi.Ili Customers wako kama hawana muda basi kuwe na fees fulani hivi za usafiri na Kinyozi kumfuata mteja.
Kuna kipindi watu wapo makazini wamerudi wamechoka,na kuna wengine wana watoto wao wa kiume au mabinti zao wanataka pia kukata nywele kwa wale wanafunzi,wanaona tabu kuwapeleka salon,so unaweza kujikuta ikifika mida ya jioni unapata tenda nyingi.

Mie hiyo niliona nje ya nchi huko Asia,ila wao walizidi ,yaani unajua ukianza ni tabu ila ikichangaya kila mtu atafanya.
Ila hao jamaa wao wapo mbali zaidi na hiyo huduma,wao walikuwa na Mobile Van,yaani hii ni kama Dungu vile,yaani ukiingia ndani salon kamili,utashangaa mtu ameweka gari Parking kumbe anamnyoa mtu,maana watu wapo busy makazi na muda wa kusema atoke hapo afuate salon ilipo anona tabu na jioni mtu yupo mbioni kwenye mambo mengine.
Watu hawaoni tabu kulipa extras kama kazi ni nzuri.
We si unaona hata watengeneza kucha na wapaka rangi wanatembea mitaani na wanakula kazi kama nini,wapiga dawa viatu(Shoes Shiners) na the same.
 
M

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
4,263
Points
0
M

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
4,263 0
mimi ninayo ya kawaida mtaji kama m3.{kodi inclusive
aisee ni bungua bongo....wananipa 60 kwa wiki!
mwanzoni ni lazima uwe karibu kuangalia mapato!
Pili,vijana wengi sana wanaofanya kazi hiyo upeo wao ni mdogo mno wana tamaa na hawaaminiki ...umakini wa hali ya juu unahitajika kuwachagua na kuwafuatilia
Hata hivyo ukiridhika inafaa kupatia hela ya mboga za majani
Mkuu huo mtaji unahusisha vitu gani?

Je vifaa vya kunyolea, na madawa unanunua wewe au wao?
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,371
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,371 2,000
kodi na umeme juu ya nani?\

mimi ninayo ya kawaida mtaji kama m3.{kodi inclusive
aisee ni bungua bongo....wananipa 60 kwa wiki!
mwanzoni ni lazima uwe karibu kuangalia mapato!
Pili,vijana wengi sana wanaofanya kazi hiyo upeo wao ni mdogo mno wana tamaa na hawaaminiki ...umakini wa hali ya juu unahitajika kuwachagua na kuwafuatilia
Hata hivyo ukiridhika inafaa kupatia hela ya mboga za majani
 
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
4,919
Points
2,000
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
4,919 2,000
Ningependa kujua ni biashara ipi inalipa zaidi kati ya biashara ya saloon ya kawaida ya kike au ya kiume katika maeneo ya miji midogo(Mikoani na wilayani) kwa kuzingatia Mtaji wa chini wa kuanzisha, Gharama za Uendeshaji, Wingi wa wateja, Changamoto, Pato na Faida.

Pia ningependa kufahamu ni wapi vifaa muhimu vyenye ubora vya saloon za kike na kiume kama Machine za kukaushia nywele(Dryer), Hair Steamer, Sterizer nk. zinapatikana na gharama zake zikoje.

Naamini topic hii itakuwa msaada kwa watu wengi sana.
 
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Messages
1,708
Points
1,225
Mkare_wenu

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2011
1,708 1,225
watu mbona wameikaushia hii
 

Forum statistics

Threads 1,283,903
Members 493,869
Posts 30,805,569
Top