Next to picha ya Nyerere na familia yake, wekeni ile ya Slaa na kimada wake!
Huyo Mtakatifu ana madhambi mengi kuliko hata ya mafisadi. Kuanzia kuleta sheria ya detention, kujaza jela kwa wafungwa wa kisiasa, kuwa na wakimbizi wa kisiasa. Kupiga marufuku vyama vya wafanyakazi na kuwasweka...