Kikwete hakua chaguo la wananchi bali mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete hakua chaguo la wananchi bali mafisadi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Japhari Shabani (RIP), Sep 8, 2010.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Rais J K Kikwete hakua chaguo la Watanzania au kipenzi cha Watanzania wakati wa kuchaguliwa kwake 2005 bali alikua chaguo la MAFISADI Kama angelikua Kipenzi au Mwenyesifa na mvuto wa kuongoza kusingelikua na umuhimu wa kutumia mamilioni yapesa kumweka madarakani cha kusikitisha nipesa ile ile ya walalahoi iliyotumika kutununulia kiongozi dhaifu.

  Kinachouma zaidi nikwamba gharama ya manunuzi ya huyu kiongozi wetu gharama zake zinaendelea kuongezeka maradufu kila siku.Kikwete ni chaguo la mafisadi na watafanya kila wawezalo kuhakikisha anabaki madarakani kwa gharama yoyote mapaka mwisho wa kipindi chake wakati wanatutafutia kiongozi mwingine. Nini vigezo vya mafisadia katika kutuchagulia kiongozi?

  1.Awe dhaifu na upeo mdogo wa kuona mbali(Mpiga soga ,mcheshi,msanii n.k)
  2.Mtu ambae wanaweza kum- control kwa asilimia 99% 3.Mtu ambae kalambishwa ufisadi bila ya yeye kujua na kutumiwa na mafisadi kama rungu na kinga kwao ili asiweze kuwageuka.Haya nayaandika nikichukulia mfano wa nchi ninayoishi Russia.

  Kulikua na Rais Boltsi Yelsen baada ya kuasabaratiki Jamuhuri ya kisoviet baadae kibhati akafanikiwa kuwa Rais wa Russia akiwa na mapungufu kadhaa ulevi,udhaifu na ueleo Mafisadi walitumia nafasi hiyo kutaifisha rasilimali ya nchi na kujichukulia kila walichoweza na wao ndio waliokua wakiamua kila jambo yeye kazi yake ilikua kuidhinisha walioamua.Katika kipindi cha awamu ya pili ya uchaguzi mbali na kua alikua mdhaifu kiafya umaarufu wake kwa wananchi kuwa chini ya asilimia 9%Mafisadi walitumia kila njia kuhakikisha anarudi madarakani mabilioni ya pesa yalitumika udanganyifu wa kuiba kura maboksi ya mamilioni pesa za walalahoi yalisambazwa nchi nzima akashinda ingawa hakuiongoza nchi mpaka mwisho wa kipindi chake cha pili.

  Hapa mafisadi walilokua wakiliangalia ni akija kiongozi makini tutakimbilia wapi?Ni wazi kwa Tanzani Dr.Slaa au chadema kikiingia madarakani ni wazi mafisadi papa akiwemo Mkapa na ,Kikwete,Lowassa Rostam Azizi Tanzania patakua hapakaliki.

  WATANZANIA TUNA KAZI KUBWA INABIDI KUA MAKINI NA HIZO FULANA,FUTARI,KHANGA ,KOFIA NA PESA NYINGI ZITATOLEWA NA CCM UKIZIKUBALI UMENUNULIWA JUMLA KWA MIAKA MITANO YATAKAYOTOKEA BAADAE USILAUM.MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  Mkuu unejaribu kuandikwa kwa koma na fullstop ili iwe user friendly nimejaribu kuedit
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  wenzako walisema ni chaguo la mungu kwa hiyo mwandishi unataka kusema mungu naye ni fisadi?..................au pengine alikuwa chaguo la allah.
   
 4. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  My fellow Tanzania remember JK raked more than 70% of all the votes in 2005. The majority of Tanzanians did vote for him and will vote for him this time around.
   
 5. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Raj,
  Those votes were faked by the help of the sitting government. You guys are happy with CCM because you have been favoured most of your time staying here. It is not the question of hardwork, it is the question of who pays who; corruption. And I discovered that they like your money than our money, very secretive!

  And you only do this in Africa. See now this guy in South Africa, Shabir Shaik has bought him!! We need a man like Dr. Slaa. You only do it in Africa!

  You 'll never buy me!
   
 6. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maneno ya mkosaji hayo! May be WARAKA mwengine ukitoka mtarudi kumpigia kura tena.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  I like this. It applies to me too. I hate gaba-cholis
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  BIG UP! Guns don’t kill people — people do.
   
Loading...