Tatizo inchi hii Hainan dira inayomguide mtu,inchi yeyote ile yenye dira ya taifa,haiwezi kutengeneza upumbavu km huu,watu wanapigania international relationship halafu wewe unaishusha samani international language? Hv niakiri kwer hiyo
Wadau nashauri tuisomeni kwanza Sera yenyewe,coz Sera ni km dira au guide inayokuongoza wakati wa kupanga utekelezaji,tuisome na tusubiri mikakati watakayo kuja nayo kuitekeleza hiyo sera. Japokuwa hofu yangu sijui km kale kamchezo ka kupanga vizuri na kutokutekeleza kameisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.