CHADEMA wapo Ubungo Terminal lakini hawajui waendako

Manasse

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
352
Reaction score
241
Kila siku tukiamka tunapata habari mpya na tunaona matamko ya CHADEMA juu ya kudai kwamba uongozi wa Rais Magufuli sio mzuri haufuati misingi ya utawala bora.

Jambo la kujiuliza ni kwamba, CHADEMA wao wangefanya nini kama wangeshika dola maana kila kukicha hakuna jema kwao.

Kabla ya Mh. Lowassa kuhamia CDM alisikika akisema "Serikali hii inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu" ebu tujiulize maamuzi magumu ni yapi na yanafanywaje?

Rais Magufuli alipoingia madarakani tunaona maamuzi magumu aloyafanya ambapo kuanzia awamu ya 2 hadi ya 4 hakuna rais aloyafanya.

1. Kung'oa uongozi wa taasisi mbali mbali kama bandari, TRA, etc.

2. Kuondoa wafanyakazi hewa serikalini.

3. Kuhimiza na kulazimisha kisheria kodi ilipwe na wale wote walokwepa kodi.

4. Mafisadi papa ambao walokuwa wakiibia serikali kupelekwa mahakamani.

5. Wazembe kazini kufukuzwa na si kuhamishwa kama awali.

6. Kuhamia Dodoma (mchakato unaendelea)

Jambo la kujiuliza sisi watanzania.
1. Kama CDM wangeshika dola, ni mambo yapi tofauti na haya ambayo wangefanya ili watanzania tuone kwamba wanatetea maslahi ya taifa.

2. CDM leo wanatetea wafanyabiashara, (jambo jema) lakini wanasema kwamba "Wafanyabiashara wanafunga biashara zao na kuhofia mitaji yao (wanashindwa kufanya biashara zao)."

3. Kuna sheria gani mpya ambayo imepitishwa na bunge inawabana wafanyabiashara baada ya Rais Magufuli kushika dola.

4. Kama leo umefunga biashara yako kwa miezi 8 tu au mwezi mmoja tu tangu mwaka wa fedha uanze, jiulize, wewe ulikuwa mfanyabiashara au mkwepa kodi?

5. Sasa kwanini CHADEMA wanatetea uozo huu?

Hoja za CHADEMA kuwaaminisha watanzania:
CHADEMA wameibuka na hoja ya udikteta lakini kimsingi si kwamba Rais Magufuli anafanya udikteta bali hiyo ni aina ya uongozi ambayo alikuwanayo tangu akiwa waziri na aina hiyo ya uongozi ndiyo ilimfanya mpaka Mh.Mbowe (M/kiti wa kudumu CDM) amsifu Rais Magufuli kwa utendaji wake (jimboni hai) akiwa waziri wa ujenzi lakini leo anamkataa kisa kamshika pabaya anashindwa kupumua.

Udikteta wa CHADEMA.
1. Ni vyema pia watanzania tukajiuliza, kwanini kila anayekuja CHADEMA kama mgombea urais anaishia kuwa katibu mkuu badala ya Mwenyekiti?

2. Mh.Mbowe anazaidi ya miaka15 ya uwenyekiti CHADEMA, je hivyo ndivyo katiba yao isemavyo au ndio kubaka demokrasia?

Maamuzi magumu.
1. Swali>
Maamuzi magumu yangefanywa vipi bila kutumia amri na maelekezo?

2. Swali>
CHADEMA, maamuzi yenu magumu mngeyafanya kwa mtindo gani?

3. Swali>
Mh.Lowassa aliposema nchi hii ilipofikia inahitaji maamuzi magunu, alikuwa anamaanisha nini?

Jambo la kushangaza:
CHADEMA badala ya kuunga mkono maamuzi haya, badala yake wanapinga uongozi mzima wa Rais Magufuli kana kwamba yale walokuwa wakiyadai tangu miaka yote hayajafanyika.

Kudhihirika unafiki wa CHADEMA:
1. Msomi Kubenea ambaye sasa ni mbunge wa ubungo (CDM) aliitumia elimu yake vyema sana kuandika na kuwaelimisha watanzania juu ya madudu alofanya Mh.Lowassa akiwa Waziri Mkuu na kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kuwaaminisha watanzania.

Sasa mh.Lowassa amejiunga CDM, viongozi wale wale wasomi na wanaotetea maslahi ya taifa tena waloshinikiza Mh. Lowassa apelekwe mahakamani, leo wamekana usomi wao kwa njaa zao (wasaka tonge) wanamsafisha Mh. Lowassa tumwone msafi na sisi watanzania tunaojiita wasomi tunakubali hili.

2. Dkt. Slaa naye alizinguka nchi nzima kutangaza ufisadi wa Mh. Lowassa na hili liliwafanya CDM waonekane kuwa chama bora sana Tanzania na kinaweza kushika dola lakini baada ya maamuzi ya mwenye chama (Mh.Mbowe_M/kiti wa kudumu wa CHADEMA) kutoa amri Mh. Lowassa simama hapa, Dkt. slaa akajitoa CDM.

CHADEMA yapoteza dira.
Kutokana na utendaji mzuri wa Rais Magufuli, CHADEMA wamejikuta katika wakati mgumu kiasi cha kufanya mpango wa kukihamisha kinyesi (ref= Dkt slaa) walichokitwaa awali ili wakirejeshe CCM jambo ambalo limekuwa gumu sana maana watanzania wanyonge, sasa wamehuishwa na utendaji mzuri wa Rais Magufuli.

CHADEMA wamekuwa na hoja ambazo hazina kabisa mashiko hivyo basi wamejikuta wakiyengeneza kila aina ya hoja kuwaaminisha watanzania kwamba utendaji wa Rais Magufuli ni mbaya lakini cha ajabu, CHADEMA wamejikuta wanaungwa mkono na watu wachache wenye maslahi ya kifisadi ambao ndio walikuwa kwakwepakodi mahili Tanzania.

Mh.Mbowe ni miongoni mwa wafanyabiashara Tz na kama mnavyofahamu, Tz watu wengi walikuwa wanakwepa kodi lakini baada ya Rais Magufuli kushika dola, wanaostahili kulipa kodi wanalipa bila kukwepa.

Nini CHADEMA mfanye.
1. Acheni siasa za uchochezi na kumuandama Rais Magufuli kwa utendaji wake, angalieni wapi mtaisaidia Tz kwa kujenga na kukosoa kwa nia njema, mkifanya hivi watanzania watawakubali sana.

2. Nendeni majimboni mwenu chocheeni miradi ya maendeleo, leteni sheria mpya kuishauri serikali kwa nia njema, sio kuzunguka kwa nia ya kufanya maandamano badala ya watu kufanya kazi.

3. Fufueni kero za watanzania kama mlivyokuwa mkifanya awali ili mshirikiane na serikali kuleta maendeleo?

Nb: Before u find the direction, u should know first where u are going.
 
Hao unafiki ndo unaowaweka mjini sasa wataachaje? Hao eashaisha tu hawana jipya tena. Kwa sisi waelewa tunasema ni wa hivyohivyo.
Unafiki unalipa mkuu so lazma watu wakomae ili washibe wengine walale njaa
 
Kila Siku Tukiamka Tunapata Habari Mpya Na Tunaona Matamko Ya CHADEMA Juu Ya Kudai Kwamba Uongozi Wa JPM Sio Mzuri Haufuati Misingi Ya Utawala Bora.

Jambo La Kujiuliza Ni Kwamba, CHADEMA Wao Wangefanya Nini Kama Wangeshika Dola Maana Kila Kukicha Hakuna Jema Kwao.

Kabla Ya Mh.Lowassa Kuhamia CDM Alisikika Akisema "Serikali Hii Inahitaji Mtu Mwenye Maamuzi Magumu" Ebu Tujiulize Maamuzi Magumu Ni Yapi Na Yanafanywaje?.

JPM Alipoingia Madarakani Tunaona Maamuzi Magumu Aloyafanya Ambapo Kuanzia Awamu Ya 2 Hadi Ya 4 Hakuna Rais Aloyafanya.

1. Kung'oa Uongozi Wa Taasisi Mbali Mbali Kama Bandari, TRA, etc.

2. Kuondoa Wafanyakazi Hewa Serikalini.

3. Kuhimiza Na Kulazimisha Kisheria Kodi Ilipwe Na Wale Wote Walokwepa Kodi.

4. Mafisadi Papa Ambao Walokuwa Wakiibia Serikali Kupelekwa Mahakamani.

5. Wazembe Kazini Kufukuzwa Na Si Kuhamishwa Kama Awali.

6. Kuhamia Dodoma (Mchakato Unaendelea)

JAMBO LA KUJIULIZA SISI WATZ.
1. Kama CDM Wangeshika Dola, Ni Mambo Yapi Tofauti Na Haya Ambayo Wangefanya Ili Watz Tuone Kwamba Wanatetea Maslahi Ya Taifa?!.

2. CDM Leo Wanatetea Wafanyabiashara, (Jambo Jema) Lakn Wanasema Kwamba "Wafanyabiashara Wanafunga Biashara Zao Na Kuhofia Mitaji Yao (Wanashindwa Kufanya Biashara Zao)."

3. Kuna Sheria Gani Mpya Ambayo Imepitishwa Na Bunge Inawabana Wafanyabiashara Baada Ya JPM Kushika Dola?.

4. Kama Leo Umefunga Biashara Yako Kwa Miezi8 Tu Au Mwezi Mmoja Tu Tangu Mwaka Wa Fedha Uanze, Jiulize. . . . ,Wewe Ulikuwa Mfanyabiashara Au Mkwepa Kodi?.

5. Sasa Kwanini CHADEMA Wanatetea Uozo Huu?.

HOJA ZA CHADEMA KUWAAMINISHA WATZ:
CHADEMA Wameibuka Na Hoja Ya Udikteta Lakn Kimsingi Si Kwamba JMP Anafanya Udikteta Bali Hiyo Ni Aina Ya Uongozi Ambayo Alikuwanayo Tangu Akiwa Waziri Na Aina Hiyo Ya Uongozi Ndiyo Ilimfanya Mpaka Mh.Mbowe (M/Kiti Wa Kudumu CDM) Amsifu JPM Kwa Utendaji Wake (Jimboni Hai) Akiwa Waziri Wa Ujenzi Lakn Leo Anamkataa Kisa Kamshika Pabaya Anashindwa Kupumua.

UDIKTETA WA CHADEMA.
1. Ni Vyema Pia Watz Tukajiuliza, Kwanini Kila Anayekuja CHADEMA Kama Mgombea Urais Anaishia Kuwa Katibu Mkuu Badala Ya Mwenyekiti?

2. Mh.Mbowe Anazaidi Ya Miaka15 Ya Uwenyekiti CHADEMA, Je Hivyo Ndivyo Katiba Yao Isemavyo Au Ndio Kubaka Demokrasia?.

MAAMUZI MAGUMU.
1. SWALI>
Maamuzi Magumu Yangefanywa Vipi Bila Kutumia Amri Na Maelekezo?.

2. SWALI>
CHADEMA, Maamuzi Yenu Magumu Mngeyafanya Kwa Mtindo Gani?.

3. SWALI>
MH.Lowassa Aliposema Nchi Hii Ilipofikia Inahitaji Maamuzi Magunu, Alikuwa Anamaanisha Nini?

JAMBO LA KUSHANGAZA:
CHADEMA Badala Ya Kuunga Mkono Maamuzi Haya, Badala Yake Wanapinga Uongozi Mzima Wa JPM Kana Kwamba Yale Walokuwa Wakiyadai Tangu Miaka Yote Hayajafanyika.

KUDHIHIRIKA UNAFIKI WA CHADEMA:
1. Msomi Kubenea Ambaye Sasa Ni Mbunge Wa Ubungo (CDM) Aliitumia Elimu Yake Vyema Sana Kuandika Na Kuwaelimisha Watz Juu Ya Madudu Alofanya Mh.Lowassa Akiwa W/Mkuu Na Kwa Kiasi Kikubwa Alifanikiwa Kuwaaminisha Watz.

Sasa Mh.Lowassa Amejiunga CDM, Viongozi Wale Wale Wasomi Na Wanaotetea Maslahi Ya Taifa Tena Waloshinikiza Mh.Lowassa Apelekwe Mahakamani, Leo Wamekana Usomi Wao Kwa Njaa Zao (Wasaka Tonge) Wanamsafisha Mh.Lowassa Tumwone Msafi Na Sisi Watz Tunaojiita Wasomi Tunakubali Hili.

2. Dkt Slaha Naye Alizinguka Nchi Nzima Kutangaza Ufisadi Wa Mh.Lowassa Na Hili Liliwafanya CDM Waonekane Kuwa Chama Bora Sana Tanzania Na Kinaweza Kushika Dola Lakn Baada Ya Maamuzi Ya Mwenye Chama (Mh.Mbowe_M/Kiti Wa Kudumu Wa CHADEMA) Kutoa Amri Mh.Lowassa Simama Hapa, Dkt Slaha Akajitoa CDM.

CHADEMA YAPOTEZA DIRA.
Kutokana Na Utendaji Mzuri Wa JPM, CHADEMA Wamejikuta Ktk Wakat Mgumu Kiasi Cha Kufanya Mpango Wa Kukihamisha Kinyesi (Ref= Dkt Slaha) Walichokitwaa Awali Ili Wakirejeshe CCM Jambo Ambalo Limekuwa Gumu Sana Maana Watz Wanyonge, Sasa Wamehuishwa Na Utendaji Mzuri Wa JPM.

CHADEMA Wamekuwa Na Hoja Ambazo Hazina Kabisa Mashiko Hivyo Basi Wamejikuta Wakiyengeneza Kila Aina Ya Hoja Kuwaaminisha Watz Kwamba Utendaji Wa JPM Ni Mbaya Lakn Cha Ajabu, CHADEMA Wamejikuta Wanaungwa Mkono Na Watu Wachache Wenye Maslahi Ya Kifisadi Ambao Ndio Walikuwa Kwakwepakodi Mahili Tanzania.

Mh.Mbowe Ni Miongoni Mwa Wafanyabiashara Tz Na Kama Mnavyofahamu, Tz Watu Wengi Walikuwa Wanakwepa Kodi Lakn Baada Ya JPM Kushika Dola, Wanaostahili Kulipa Kodi Wanalipa Bila Kukwepa.

NINI CHADEMA MFANYE.
1. Acheni Siasa Za Uchochezi Na Kumuandama JPM Kwa Utendaji Wake, Angalieni Wapi Mtaisaidia Tz Kwa Kujenga Na Kukosoa Kwa Nia Njema, Mkifanya Hivi Watz Watawakubali Sana.

2. Nendeni Majimboni Mwenu Chocheeni Miradi Ya Maendeleo, Leteni Sheria Mpya Kuishauri Serikali Kwa Nia Njema, Sio Kuzunguka Kwa Nia Ya Kufanya Maandamano Badala Ya Watu Kufanya Kazi.

3. Fufueni Kero Za Watz Kama Mlivyokuwa Mkifanya Awali Ili Mshirikiane Na Serikali Kuleta Maendeleo?.

NB: BEFORE U FIND THE DIRECTION, U SHOULD KNOW FIRST WHERE U ARE GOING.
Mkuu hii natuma haujatumia siku moja kuandika maana ipo detailed sana hongera Mh. Imekaa vzr.
 
mkuu hongera sana kwa uzi ulio tulia UMEELEWEKA VYEMA nadhani kama cdm wana kaupeo japo kadogo tu ka kupambanua mambo wakiusoma uzi huu wata ufanyia kazi.HONGERA
 
Maamuz magumu kwa kufuata kanuni na sheria. Nianzie kwa kujibu hizo hoja za maamuz magumu ulizoweka hapo juu;
1. Kungoa viongozi; aliwang'oa kwa sababu ipi? Km ni ufisadi au rushwa je wakupelekwa mahakamani? Na kesi zao zmeishaje maana miezi zaidi ya 5 imepita.

2. Kuondoa wafanyakazi hewa; je hili zoezi limeishia wap? Na je waliokuwa wanapokea hyo mishahara ya wafanyakazi hewa uliwasikia wakitajwa na wamechukuliwa hatua gani?

4. Ni akina nan hao mafisadi papa? Je hukumu zao zmeisha? Au ndo zile kesi za akina Yona na Mramba. Hv nilisikia Lowasa ni fisadi papa mbona hajapelekwa mahakamani ( Lizaboni analijua sana hili maana ana thread za Lowasa nyingi)

SIPENDI NIJBU HAYO YA CHADEMA MAANA MM SINA CHAMA.

TUJE KWNY MASWALI YA MAAMUZI MAGUMU

Maamuzi magumu hayafanywi kwa amri na maelekezo ya rais tu, bali hufanywa kwa amri na maelekezo kwa kufuata sheria na KATIBA. Sio rais anasimama hakimu. Yaani mbunge ni yy, police ni yy na mahakama ni yy. Rais nae afuate sheria.

Mwisho, km Chadema na vyama vya upinzani havina mashiko mh.anawaogopa nn? Kwann hataki kukosolewa, hataki mikutano ya vyama vya siasa vilivyopo kikatiba na sheria inaruhusu mikutano ya vyama vya siasa.?
Sisi tusio na vyama tuna waswasi kwann mkuu anaogopa kukosolewa? Anaogopa watu kuongea. Bunge limeminywa unaona sawa?

Mwisho niulize; Lugumu vipi ulisikia ilivyoisha?
 
Mleta hoja we ni mdada au ni mama? nauliza hivyo ili nijue age yako kwani mada imekaa kimbeambeya mno! na unakaa maeneo gani? Kwani umbea unaathiriwa pia na maeneo anayokaa mtu ie tandale, tandika, Manzese!
 
4.kuna fisadi papa kafikishwa MAHAKAMANI?
misingi ya utawala bora inafuatwa?

mgambo hakuna ila mama lishe wanasulubika na policeCCM
 
Mi naona chadema hawana la kufanya kwa huu utendaji wa magufuli. nawashauri vijana wakatae kutumika kwenye maandamano, yasiye yakawakuta makubwa.
 
Kila Siku Tukiamka Tunapata Habari Mpya Na Tunaona Matamko Ya CHADEMA Juu Ya Kudai Kwamba Uongozi Wa JPM Sio Mzuri Haufuati Misingi Ya Utawala Bora.

Jambo La Kujiuliza Ni Kwamba, CHADEMA Wao Wangefanya Nini Kama Wangeshika Dola Maana Kila Kukicha Hakuna Jema Kwao.

Kabla Ya Mh.Lowassa Kuhamia CDM Alisikika Akisema "Serikali Hii Inahitaji Mtu Mwenye Maamuzi Magumu" Ebu Tujiulize Maamuzi Magumu Ni Yapi Na Yanafanywaje?.

JPM Alipoingia Madarakani Tunaona Maamuzi Magumu Aloyafanya Ambapo Kuanzia Awamu Ya 2 Hadi Ya 4 Hakuna Rais Aloyafanya.

1. Kung'oa Uongozi Wa Taasisi Mbali Mbali Kama Bandari, TRA, etc.

2. Kuondoa Wafanyakazi Hewa Serikalini.

3. Kuhimiza Na Kulazimisha Kisheria Kodi Ilipwe Na Wale Wote Walokwepa Kodi.

4. Mafisadi Papa Ambao Walokuwa Wakiibia Serikali Kupelekwa Mahakamani.

5. Wazembe Kazini Kufukuzwa Na Si Kuhamishwa Kama Awali.

6. Kuhamia Dodoma (Mchakato Unaendelea)

JAMBO LA KUJIULIZA SISI WATZ.
1. Kama CDM Wangeshika Dola, Ni Mambo Yapi Tofauti Na Haya Ambayo Wangefanya Ili Watz Tuone Kwamba Wanatetea Maslahi Ya Taifa?!.

2. CDM Leo Wanatetea Wafanyabiashara, (Jambo Jema) Lakn Wanasema Kwamba "Wafanyabiashara Wanafunga Biashara Zao Na Kuhofia Mitaji Yao (Wanashindwa Kufanya Biashara Zao)."

3. Kuna Sheria Gani Mpya Ambayo Imepitishwa Na Bunge Inawabana Wafanyabiashara Baada Ya JPM Kushika Dola?.

4. Kama Leo Umefunga Biashara Yako Kwa Miezi8 Tu Au Mwezi Mmoja Tu Tangu Mwaka Wa Fedha Uanze, Jiulize. . . . ,Wewe Ulikuwa Mfanyabiashara Au Mkwepa Kodi?.

5. Sasa Kwanini CHADEMA Wanatetea Uozo Huu?.

HOJA ZA CHADEMA KUWAAMINISHA WATZ:
CHADEMA Wameibuka Na Hoja Ya Udikteta Lakn Kimsingi Si Kwamba JMP Anafanya Udikteta Bali Hiyo Ni Aina Ya Uongozi Ambayo Alikuwanayo Tangu Akiwa Waziri Na Aina Hiyo Ya Uongozi Ndiyo Ilimfanya Mpaka Mh.Mbowe (M/Kiti Wa Kudumu CDM) Amsifu JPM Kwa Utendaji Wake (Jimboni Hai) Akiwa Waziri Wa Ujenzi Lakn Leo Anamkataa Kisa Kamshika Pabaya Anashindwa Kupumua.

UDIKTETA WA CHADEMA.
1. Ni Vyema Pia Watz Tukajiuliza, Kwanini Kila Anayekuja CHADEMA Kama Mgombea Urais Anaishia Kuwa Katibu Mkuu Badala Ya Mwenyekiti?

2. Mh.Mbowe Anazaidi Ya Miaka15 Ya Uwenyekiti CHADEMA, Je Hivyo Ndivyo Katiba Yao Isemavyo Au Ndio Kubaka Demokrasia?.

MAAMUZI MAGUMU.
1. SWALI>
Maamuzi Magumu Yangefanywa Vipi Bila Kutumia Amri Na Maelekezo?.

2. SWALI>
CHADEMA, Maamuzi Yenu Magumu Mngeyafanya Kwa Mtindo Gani?.

3. SWALI>
MH.Lowassa Aliposema Nchi Hii Ilipofikia Inahitaji Maamuzi Magunu, Alikuwa Anamaanisha Nini?

JAMBO LA KUSHANGAZA:
CHADEMA Badala Ya Kuunga Mkono Maamuzi Haya, Badala Yake Wanapinga Uongozi Mzima Wa JPM Kana Kwamba Yale Walokuwa Wakiyadai Tangu Miaka Yote Hayajafanyika.

KUDHIHIRIKA UNAFIKI WA CHADEMA:
1. Msomi Kubenea Ambaye Sasa Ni Mbunge Wa Ubungo (CDM) Aliitumia Elimu Yake Vyema Sana Kuandika Na Kuwaelimisha Watz Juu Ya Madudu Alofanya Mh.Lowassa Akiwa W/Mkuu Na Kwa Kiasi Kikubwa Alifanikiwa Kuwaaminisha Watz.

Sasa Mh.Lowassa Amejiunga CDM, Viongozi Wale Wale Wasomi Na Wanaotetea Maslahi Ya Taifa Tena Waloshinikiza Mh.Lowassa Apelekwe Mahakamani, Leo Wamekana Usomi Wao Kwa Njaa Zao (Wasaka Tonge) Wanamsafisha Mh.Lowassa Tumwone Msafi Na Sisi Watz Tunaojiita Wasomi Tunakubali Hili.

2. Dkt Slaha Naye Alizinguka Nchi Nzima Kutangaza Ufisadi Wa Mh.Lowassa Na Hili Liliwafanya CDM Waonekane Kuwa Chama Bora Sana Tanzania Na Kinaweza Kushika Dola Lakn Baada Ya Maamuzi Ya Mwenye Chama (Mh.Mbowe_M/Kiti Wa Kudumu Wa CHADEMA) Kutoa Amri Mh.Lowassa Simama Hapa, Dkt Slaha Akajitoa CDM.

CHADEMA YAPOTEZA DIRA.
Kutokana Na Utendaji Mzuri Wa JPM, CHADEMA Wamejikuta Ktk Wakat Mgumu Kiasi Cha Kufanya Mpango Wa Kukihamisha Kinyesi (Ref= Dkt Slaha) Walichokitwaa Awali Ili Wakirejeshe CCM Jambo Ambalo Limekuwa Gumu Sana Maana Watz Wanyonge, Sasa Wamehuishwa Na Utendaji Mzuri Wa JPM.

CHADEMA Wamekuwa Na Hoja Ambazo Hazina Kabisa Mashiko Hivyo Basi Wamejikuta Wakiyengeneza Kila Aina Ya Hoja Kuwaaminisha Watz Kwamba Utendaji Wa JPM Ni Mbaya Lakn Cha Ajabu, CHADEMA Wamejikuta Wanaungwa Mkono Na Watu Wachache Wenye Maslahi Ya Kifisadi Ambao Ndio Walikuwa Kwakwepakodi Mahili Tanzania.

Mh.Mbowe Ni Miongoni Mwa Wafanyabiashara Tz Na Kama Mnavyofahamu, Tz Watu Wengi Walikuwa Wanakwepa Kodi Lakn Baada Ya JPM Kushika Dola, Wanaostahili Kulipa Kodi Wanalipa Bila Kukwepa.

NINI CHADEMA MFANYE.
1. Acheni Siasa Za Uchochezi Na Kumuandama JPM Kwa Utendaji Wake, Angalieni Wapi Mtaisaidia Tz Kwa Kujenga Na Kukosoa Kwa Nia Njema, Mkifanya Hivi Watz Watawakubali Sana.

2. Nendeni Majimboni Mwenu Chocheeni Miradi Ya Maendeleo, Leteni Sheria Mpya Kuishauri Serikali Kwa Nia Njema, Sio Kuzunguka Kwa Nia Ya Kufanya Maandamano Badala Ya Watu Kufanya Kazi.

3. Fufueni Kero Za Watz Kama Mlivyokuwa Mkifanya Awali Ili Mshirikiane Na Serikali Kuleta Maendeleo?.

NB: BEFORE U FIND THE DIRECTION, U SHOULD KNOW FIRST WHERE U ARE GOING.
Yao ni migomo tuu
 
Mkuu hii natuma haujatumia siku moja kuandika maana ipo detailed sana hongera Mh. Imekaa vzr.
Pamoja sana mkuu, ila wanashabiki wa CDM wakiiona hawatanielewa coz wamegubikwa na mapenz badala ya uhalisia.
 
Maamuz magumu kwa kufuata kanuni na sheria. Nianzie kwa kujibu hizo hoja za maamuz magumu ulizoweka hapo juu;
1. Kungoa viongozi; aliwang'oa kwa sababu ipi? Km ni ufisadi au rushwa je wakupelekwa mahakamani? Na kesi zao zmeishaje maana miezi zaidi ya 5 imepita.

2. Kuondoa wafanyakazi hewa; je hili zoezi limeishia wap? Na je waliokuwa wanapokea hyo mishahara ya wafanyakazi hewa uliwasikia wakitajwa na wamechukuliwa hatua gani?

4. Ni akina nan hao mafisadi papa? Je hukumu zao zmeisha? Au ndo zile kesi za akina Yona na Mramba. Hv nilisikia Lowasa ni fisadi papa mbona hajapelekwa mahakamani ( Lizaboni analijua sana hili maana ana thread za Lowasa nyingi)

SIPENDI NIJBU HAYO YA CHADEMA MAANA MM SINA CHAMA.

TUJE KWNY MASWALI YA MAAMUZI MAGUMU

Maamuzi magumu hayafanywi kwa amri na maelekezo ya rais tu, bali hufanywa kwa amri na maelekezo kwa kufuata sheria na KATIBA. Sio rais anasimama hakimu. Yaani mbunge ni yy, police ni yy na mahakama ni yy. Rais nae afuate sheria.

Mwisho, km Chadema na vyama vya upinzani havina mashiko mh.anawaogopa nn? Kwann hataki kukosolewa, hataki mikutano ya vyama vya siasa vilivyopo kikatiba na sheria inaruhusu mikutano ya vyama vya siasa.?
Sisi tusio na vyama tuna waswasi kwann mkuu anaogopa kukosolewa? Anaogopa watu kuongea. Bunge limeminywa unaona sawa?

Mwisho niulize; Lugumu vipi ulisikia ilivyoisha?
Umenena Vizuri Mkuu, Lakn Tambua Kuchukuwa Hatua Ni Jambo1 Lakn Kuwapeleka Mahakaman Ni Lingine Na Hukumu Ni Jambo Lingine Pia.

Kesi Za Jina Huwa Ni Ngumu Sana Kuziendesha Si Jambo Dogo Mkuu.

Hata Hvyo Katiba Inafuatwa Lakn Kwa Maslahi Ya Nchi Unaweza Ukavunja Vipengele Kadhaa Kuwaneemesha Watz.
 
Pamoja sana mkuu, ila wanashabiki wa CDM wakiiona hawatanielewa coz wamegubikwa na mapenz badala ya uhalisia.
Upuuzi wako peleka lumumba... maamuzi magumu yakufanya watu waishi maisha magumu? kama anaweza aanze na nyumba za serikali.. Tegeta escrow.. Lugumi.. Mv dar.. Richmond.. Meremeta... Aache kuigiza kwenye maamuzi
 
Mi naona chadema hawana la kufanya kwa huu utendaji wa magufuli. nawashauri vijana wakatae kutumika kwenye maandamano, yasiye yakawakuta makubwa.
Hacha waandamane waipate,
Arusha, Morogoro watu wamafia chama, lakini chama kimetoa msaada upi zaidi ya bendera kama sanda?
Kama hadi leo kuna mtanzania anayeiamini saccoss inayoitwa chadema, basi ni kipofu.
Hata Sabodo kawakimbia, Dr slaa aliyekijenga chama kwa jasho na damu kajiengua, wewe bado unatapeliwa tu!????
 
Back
Top Bottom