Recent content by Zumbe Biyah

  1. Z

    Obama aja Tanzania

    Watanzania tufunguke macho. Ujio kama huu siyo wa kuomba misaada kama viwete. Wamarekani wana usemi wao kuwa"There is no free lunch". Hivyo akupaye lunch kuna anavyotegemea kutoka kwako. Je atakavyo Obama na wamarekani twavijua? Twaviweza? Tuitafute Ubia katika shughuli tunazoweza kufanya na...
  2. Z

    Vijana Kumi wenye Uwezo wa Kuiokoa Tanzania

    Wana JF mada hii ni muhimu sana. Tusiifanyie masihara kwa kujitajataja wenyewe. Hebu tufanye hivi. Kila mwana JF ataje mwanamapinduzi mmoja tu wa kweli anayemjua. Baada ya muda tutakuwa na wanamapinduzi wa kweli 10: 100: 1000: 10000 n.k. Hii itakuwa ndiyo baki yetu ya wanamapinduzi. Kisha barua...
  3. Z

    Kwa wadau wa kitimoto tu!

    Don't worry you kitimoto lovers. Evolution takes millions of years. So even if the change were to happen it will be a couple of million years to come. Among you who will be there? Stop those worries and enjoy kitimoto kwa kwenda mbele.
  4. Z

    Tanzania: Nini tatizo letu kama Taifa? Tunajikwamuaje?

    In 1978, Peter Enahoro wrote in the then famous Africa Now magazine, I quote "Underdeveloped countries can't develop because the army men are ever on rampage, the politicians are disgustingly corrupt and the planners are innately stupid" end of quote. This was said for Africa but it is more true...
  5. Z

    David Kafulila ahamia NCCR Mageuzi akitokea CHADEMA

    Wana JF. Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya msimamamo wa gazeti la Mwananchi. Lakini yote kwa yote kuna mkanganyiko kwani kati ya magazeti lukuki ya Tanzania si rahisi kujua lipi lina muelekeo upi. Nawaombeni waungwana wa JF kutuorodheshea misimamo ya magazeti yote makuu nchini hasa ile...
  6. Z

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Mrema aheshimiwe kama kinara wa Upinzani Tanzania. Kama siyo yeye upinzani na hata watanzania wasingejua nini upinzani hadi leo na ingelitugharimu sana. Fikiria kamasi upinzani tungelijua juu ya EPA, Richmond, Kagoda, Kiwira n.k. Ila kama alivyowahi kusema ni kama muwindaji na kaambia wenye meno...
  7. Z

    KWA WANAUME TU (no ladies plz)

    Tungeliumbwa na hiyo miluzi basi kusingelikuwa na taabu. Ona wa-Hadzabe wa Manyara, Wa-Dinka wa Sudan Kusini na Hata Bushmen wa Bondeni wanapiga miluzi ya majamboz na hakuna taabu. Wameikubali hali. Na sisi tungekubali. Kutongoza ingekuwa simple sana.
Back
Top Bottom