Recent content by zulu lima

  1. zulu lima

    Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Yes. Hii ni hospital ya serikali pale kijitonyama iliyopewa jina la Mzee Mzena kama sehemu ya kumuenzi kwa kazi nzuri akiwa mkurugenzi mkuu WA idara hiyo.
  2. zulu lima

    RC Anthony Mtaka ana sifa gani spesheli?

    Katika swala Hilo Hilo la elimu aliwezesha mkoa wa simiyu kutoka mkiani na kiingia top 3 nchini.
  3. zulu lima

    Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Niko tayari kukusikiliza. Njoo tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. zulu lima

    Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Unaongea usichokijua. Nani brake pads/shoes tu ndio tatizo linalofelisha breki? Kamanda kusema uchunguzi unafanyika unamuona mjinga na wewe ndio mjuaji? Hizo gari zinatumia breki ya upepo, unajua ni valve zimekata au pipe zimetoboka?? No research no right to speak. Acha utanganyika hii ni...
  5. zulu lima

    GE2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

    Huyu jamaa maisha yake anayapata kwa kutaja cdm. Akikosa la kuihusisha CDM anaweza hata kusema cdm ilizaa na mama yake
  6. zulu lima

    GE2020 Ndugu Mwita Waitara hautoshi Ukonga. Umefeli ukiwa mpinzani, umeshindwa ukiwa CCM!

    Kutoka mombasa kwenda moshi bar lami ipo mbovu tu, lakini kutoka Moshi bar kwenda bomba mbili hakupitiki kabisa , imesababisha madaladala kuwa machache sana , bajaj haziendi na hata bodaboda xinadengua pia!!!
  7. zulu lima

    Mtifuano jimbo la Ukonga Makonda Vs Waitara. Mjumbe amtuhumu Waitara kumhonga bia ili asizungumzie maendeleo jimboni

    Kabisa . Waitara sio kabisa . Na alipopata uwaziri ndio katuona hatufai kabisa.. Aje tu makonda atutoe katika hili janga la barabara
  8. zulu lima

    Mtifuano jimbo la Ukonga Makonda Vs Waitara. Mjumbe amtuhumu Waitara kumhonga bia ili asizungumzie maendeleo jimboni

    Huku kwetu bomba mbili barabara ni mbaya mno. Hata madaladala yanayokuja huku ni yale yalichoka mno kutokana na matajiri kuhofia ubovu wa barabara. Kiukweli hakuna mtu wa kuanzia kwa diwani mpaka bombambili na mkolemba anaetaka kusikia jina la huyu naibu waziri/mbunge alietelekeza wapigakura...
  9. zulu lima

    DC Iringa Mjini, Richard Kasesela amelazimika kuomba radhi kwa umma baada ya kutoa taarifa feki ya kifo cha Dr. Salim Ahmed Salim

    Kulikuwa na haja gani yakukimbilia kutangaza msiba wa watu? yeye ni msemaji wa familia? yeye ni msemaji wa Serikali? anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa udaku
  10. zulu lima

    Tanzania hakuna umoja wala mshikamano. Unafiki umetujaa vifo vya marubani chipukizi Serengeti vinaakisi

    Hili hata mimi liliniumiza sana kwa kweli na nikaacha kufuatilia habari za msiba ule kwa ubaguzi ule!!!!
  11. zulu lima

    Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

    He was only 22 bro. Point of correction
  12. zulu lima

    Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

    At 22 yrs of ageDr Salim Ahmed Salim tayari ni Balozi wa Tanzania MISRI
  13. zulu lima

    Video : Dawa ya moto ni moto , Mali za ubalozi wa Afrika kusini nchini Zambia zapigwa kiberiti

    Dawa yao kuwatenga, hii kitu hawaacha bila ya kuwakazia
  14. zulu lima

    Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

    Nadhan ni nursery... ukisema std 2 unampaisha
Back
Top Bottom