Recent content by Zuleha

  1. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Huwa mnaishi vipi Kwa kutegemea mishahara?

    Tunaishi maisha magumu mnoo,....na hela zenyewe ndo zinaishaga tu bila kufanyia kitu cha mana
  2. Zuleha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Umeniudhi sijui nikutukane
  3. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    Ata mi nimeona Mama hayupo sawa jamani,......lawamaaaa zooote anapewa yeye unadhani haoni yanayoendelea mtandaoni.
  4. Zuleha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

    Mheshimiwa mbona kama alikua analia au macho yangu
  5. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Walevi nyiee sio vitu vyangu nyiee
  6. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Kabla ujafika uko shukia mazizini apa
  7. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Makubwa sa huo urembo umeuona wapi
  8. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Na wewe una ngiri
  9. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Ulongoni ndo kuna mafuriko mkuu upande huu hamna kuswim
  10. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Na ngoja mvua iishe kila mtu ana sweta zito 😂
  11. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Nipo gomsi mvua kama kawa kama dawa.
  12. Zuleha

    JamiiForums Tanzania Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

    Daah Kinyanambo kitambo sana iyo kipindi iko bajaji 500 to mafinga
  13. Zuleha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mme wangu sio mwaminifu

    Poleee dada nakuelewa mnoo
Back
Top Bottom