Kwakweli kikwete kama ni zarau zimepitiliza rais hatakiwi kuwa hivyo, wananchi tunalia tatizo la umeme yeye anaongea kabisa pumba zake kwa kujiamini huku anacheka, inasikitisha sana na inauma sana kwa alichokijibu kikwete bora mnao hadisiwa kuliko 2lio mshuhudia kwa kuacha kazi ze2 eti...
Hii nidalili ya wazi kuwa viongozi wa nchi hii sio wawajibikaji kila mmoja yupo ki maslahi ya familia yake na sio wananchi. wakuu wa majeshe, wanajeshi na viongozi wote wa nyanja za juu wanafanya kazi gani mpaka mabomu yanaribuka na sio mara ya kwanza, watanzania tuna haki ya kugoma kabisa...
Hiyo rehersal niya muvi ya x au muvi ya aina gani? Sio kila 2nachokiona ktk nchi za magaribi nicha kuinga 2we wapana wa kufikiri hayo co maadili yetu nani ufuska uliopitiliza
Watanzania 2napaswa kutambuwa kuwa matabaka yamezidi ktk nchi ye2 maana hii co tena ubebari bali ni unyanyaswaji, tunapoelekea sio kuzuri ikiwa 2taendelea kufumbia serekali macha inapaswa wote tuungane kupinga mabaya yote yanayofanywa na serekali inayoongozwa na ccm, tuamke na 2ache uyoga kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.