Recent content by Zuella zuu

  1. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    mmh! ndugu hawa wote saivi hata kuona hawaoni achilia mbali kutembea 😆
  2. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    duuh! noti ya mia? japo me muhenga ila noti ya mia sijaikuta aisee 🙄
  3. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Usiwe Mtumwa wa Wema — Jifunze Kuweka Mipaka

    Tupunguze wema jamani binadamu hawana kumbukumbu
  4. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    hawachukuliwi hatua yoyote nasikia nchi yao haina raisi tangu 2021 wanajiongoza tu na hayo makundi ndio yana nguvu kuliko serikali, yaani wamepost na bado wanatamba live huko tiktok hadi leo
  5. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Wicknell chivayo kaenda na Password ya mabilioni!

    muda huongea, more bad news to them
  6. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    wenzie wamemuwahi michezo yao ya kimafia hiyo hakuna ushirikina wala nini
  7. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    shobo nyingi mtu hata hakujui kama una exist, kuna comments zinatia kinyaa sana mfate basi kama umeumia
  8. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    aisee Mungu mkali nyie 😳 kwahyo kafuta kizazi chote?
  9. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    niliona juu juu tu before ni log in nilikua nacheka sana 😆😆
  10. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    aweee! mambo niyapendayo 😂
  11. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    hii ni on target kabisa ndugu.
Back
Top Bottom