Recent content by zubek

  1. zubek

    Natafuta shule nzuri ya private O-level Arusha au Moshi

    Kuna moja ipo Simiyu, ni nzuri na inaongoza kimkoa na wanafunzi wote wa kidato cha nne miaka iliyopita walifaulu na wapo advanced level pamoja na vyuo mbalimbali, kwa form one hadi four, michepuo ya arts, sayansi, na biashara. Ada ni 1.4 boarding, laki 9 kwa day. Shule ipo Bariadi mjini, taaluma...
  2. zubek

  3. zubek

    Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

    Back then before October 2015, Education was the key to life. Now that someone has changed the lock, education is no longer the key, but the lock itself. You and your university doesn't matter, the only thing that does, is the degree of connectedness. Remember: The world works with the connected...
  4. zubek

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    The world works with the connected ones, you stay alone, you die alone. To get what you want, you must use what you want the most.
  5. zubek

    Wapenda Novels/Short Stories, tukutane hapa

    Yap, hapo bomba saaana, hebu tembelea www.joafrica.africamotion.net Au ingia Google usearch keyword hii "Nopinia Publishing House". Hapo utaweza kusoma na kupata simulizi nzuri na za kuelimisha. Kuna kitabu kinaitwa "THE HOUSE OF BROKEN HEARTS". Ni kizuri saaana, nimetafuta hard copy pamoja na...
  6. zubek

    Awful dentist

    Very funny and tricky... that's why I love literature.
  7. zubek

    Kiswahili ni Kiingereza, jadili.

    Habari za muda ndugu, jamaa na marafiki? Mada tajwa ni swali tosha kuwakamata kidato cha nne, cha sita na hata wanazuoni ambao wamewekeza katika elimu, hususan lugha ya kiswahili. NECTA, TUKI pamoja na vitivo mbalimbali katika vyuo vikuu hapa nchini, mtaala na vitabu kadha wa kadha, tumezoea...
Back
Top Bottom