...mkuu Kwan lazima awe binti ... Kama kuna kijana wa Kiume mpishi mzuri wa chapati , Ana lugha nzuri kwa wateja,mjuzi wa hesabu, anajua kuhudumia vizuri wateja na ni mchangamfu .. hakufai ? Kwakua sio binti.?
... mkuu huu uzi wako ni mzuri sana ... Maana umebeba dhamira na ujumbe bora Kabisa ... ila watu Wengi wameshindwa kuuelewa kwasababu ya mtindo m'bovu uliotumia kuuwasilisha ... Sasa watu wameshindwa kuuelewa wamekuwa na hali ya hasira dhidi Yako ... nakushauri next time ukileta thread yako humu...
... Mkuu Mbona Kama mi nimeshaijua hiyo namba ya Mwisho ... Nimsaidie kumpatia iyo namba ndugu yetu apate mke..? tell me if you ar serious tumsaidie jamaa ...
... Mkuu huo mfano wa MZUMBE UNIVERSITY umeuweka mahala pasipo sahihi ... maana mifumo ya calculations za GPA baina ya MU na SUA ni Sawa sawa ... so nakushauri tu ww Kama msomi mwenye weledi unapaswa Kuwa mfuatiliaji wa taarifa na ujiridhishe Kabla ya kutia Neno Unlike ww umekurupuka mbele ya...
(N.B neno kilaza limetoholewa toka kwa mwanamziki Juma kilaza aliyejifanya anauwezo wa kupiga gitari kuliko Mbaraka mwinshehe lmiaka ya 1970 akini siku waliposhindanishwa akaonekana kuwa na uwezo mdogo sana tangu hapo watu wenye uwezo mdogo huitwa kwa jina lake)
... mkuu kilichonifurahisha...
.... mkuu umenena ... wanawake hawataki kuolewa siku izi at the end of the days wanakujajuta tu ... iyo dhana yao ya eti mwanaume mwnyw mi sijampenda ndo inaowa cost ...
.. punguza jazba kwanza.. then elewa kua mwanaume ndo muoaji ... ukiwa na jazba ukaleta jeur na kiburi at the end of the moment utakosa mume ... marital status yako haitobadilika mpk utajuta ... so you should be careful men always will be men ... Ndivyo ilivyo ...
... hapo mnakua mmezini ... laiti kama ingekua talaka moja(talaka rejea) ktk kipindi icho mume akihitaji tendo la ndoa ukampa inamaana mmesharudiana ... ila talaka tatu mpk uolewe na mume mwingine ukiachika ndo anaruhusa ya kukuoa tena ... otherwise utakua unazini ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.