Hili jambo rahisi sana tatizo kila mtu analichukulia kimahaba pengine hata mimi!
Nafikiri kwa sababu familia ya lisu iliamua lissu atibiwe nairobi na sio kwa utaratibu wa serikali nadhan ni busara familia ya lisu kusema ikiwa wanahitaji msaada wa serikali ambao mwanzo waliukataa! Ama tunataka...
Kupungua mapato kwa asilimia zote hizo kisa makinikia!
Makinikia si ni nyongeza tu!!!?
Mfano ukinunua kopo la mkaa anakupa na chenga kidogo!
Kwel tumepigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ulaya usajili kibao huwa unabuma haitakuw ajabu...
Lukaku, depay, macheda, shevshenk, chamakh, podolski,torres , falcao wot walibum maisha ni kujarib mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Solution ni kuondokana na UKILAZA tu!
Kwa navyooona serikali haitaki wasomi wengi ngazi za juu! Degree minimum entrance kozi za afya ni CCD hyo ni div 1 ya 8 ndugu! Hiyo ngoma hata private wanafunz watapungua mana walikuw wanajaa wa div 2 na 3!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wenu wa chuo nimemsikia you tube anajisifu kapambana na hizo changamoto!!
Ama ni mmiliki wa ile maiki iliyomuhoji??
Poleni sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Zaidi ya 85% ya binadam ni rhesus + kama ilivy kwenu
shida kidogo hutokea endapo mama atakuwa nega(-) na baba + tena mara nying ni kwa ujauzito wa pili! Na dawa zipo kuzuia hatar hiyo
Enjoy maisha mzee!
Post sent using JamiiForums mobile app
Kijana kama yeye kujitengenezea maadui kwa kuwaonea hata sio poa! Nilisomaga mahala kwamba!
A good leader must hv both leadership and management skills! Makonda hana leadership skills.
ANAFORCE TU VITU ILIMRADI AONEKANE
Kazingua xn bora basi hata angezuia asirekodiwe ili awaonyeshe hiyo hasir yake! Ila anavyopenda kiki kafanya maksudi kabixa! Hana maumivu na matokeo mabaya ila ana haha kupata kiki tu!
Hizi hasira zako ukizitumia kwenye mambo ya kimaendeleo utafika mbali. Uwakilishi upo usikaze akili hoja za kwnn hakwnd mwenyew wawez toa utakavy na ukalia sana ila ujue tu sio lazima yeye kwenda. Au liko kwenye katiba kwamba kavunja sheria?? Hah hah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.