Recent content by zoomantz

  1. zoomantz

    Hawa wanaume hatujawajulia tu

    Bora umeongeaa
  2. zoomantz

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Kama upo tayari kushare na jama basi baki naye ila it's pain kwa moyo wa ujasiri unatakiwa kuacha naye kabs nilicho gundua wwe una mpenda wife ila wife amependa sehm nyingin utapata shida sna na hilo...you have to let her go kwa baht mbaya wife ajititambui kabs.
  3. zoomantz

    Watesi wa Tundu Lissu hawakujiandaa kisaikolojia

    Mimi sina upande ila kwenye ukweli usemwe
  4. zoomantz

    JPM Atoa Million 700

    Serikali imetoa but ukisema JPM una zungumzia mtu moja nje ya Serikali ambaye na resources zake binafsi ana toa msaada tu kwa mfuko binafsi basi kama ni mfuko wa uma kwa ajili ya maendeleo itumike serikali imetoa
  5. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    Ukiweka no siyo kila mtu ni ana mtazamo kama wako wengine wana mtazamo negative so wanasumbua tu ww kama una taka kujifunza karibu ata inbox
  6. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    Gain nikitu ambacho ume receive but balance ina jumuisha gain zako zote ulipo upgrade ulitumia balance yako na pia ukifanya mauzo ya Dollars kwa mtu ina change balance but gains ipo constant
  7. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    Nimeipenda idea yk siku zote ktk maisha ukifika mahali kila mtu ana kuona chizi b'se ww una misimamo wako kama ni kweli simama kwelikweli pia usikubali kuyumba kwa sababu hiyo ndo salama yako ila kama una simamia kwa kitu ambacho hukijuw basi wwe ni chizi kwelikweli
  8. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    Nakaribisha maswali kama yapo
  9. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    *Bitclubadvantage inautofauti gan na des!* *1*: des ilikuwa na mfumo wa pyramid lakn ikiwa na lengo kuu la poze scheme. What is poze scheme- hii ni mufumo wa kukusanya pesa na kulipa ili kuvutia watu wengi sana, mwisho wa siku mkiwa wengi system zinaponse, kusimamishwa. Ni rahs na wanatoaga...
  10. zoomantz

    Simama imara kijana katika maisha

    *Sna shaka mko salama kabisa ndugu zangu* *Kwa muda mrefu watu wameshindwa kuitofautisha BITCLUB ADVANTAGE NA D9 na hvo kuwa na hofu ya kujiunga na bitclub kwa hofu ya kutapeliwa kama ilivyowatokea kwa D9 clube* nimejaribu kupitia sehemu mbali mbali ili kuijua D9 na nimegundua kuwa...
  11. zoomantz

    Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako kipo karibu

    IMEANDALIWA NA *R.M - Professor of psychology Ohio state University-USA: Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la...
Back
Top Bottom