Recent content by zombieboy

  1. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    Usiseme ivo , maisha yanattofautiana.
  2. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    nakushuru sana kiongoz.umenipa mwanga
  3. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    hahaha nasbu abdul
  4. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    na imenisumbua sana kwa hlo tatzo
  5. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    ndo inakuaje mkuu
  6. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    mkuu huwa nachanganywa kuhusu kutofautisha kat ya factor hard res na flashing.naomba kueleweshwa hapo
  7. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

    habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
  8. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo betpawa. UNDER 4.5 odds 1.09 (lost)
  9. zombieboy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yule alozungumzia 1xbet nmeanza updating ya site,kama n kitu serious naaanza bata
  10. zombieboy

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA

    pesa ninazo ila za bandia
  11. zombieboy

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA

    kujipiga kiberiti cyo kujichoma moto hahaaa misemo ishabadilika vijana tunaharbu maana ya maneno kila kukicha
  12. zombieboy

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA

    chemistry ni tawi la sayansi ambalo sana sana cyo yale matawi ya miti
  13. zombieboy

    JamiiForums Tanzania INAUMA SANA

    kuna dem nna kama week 3 namfkuzia ,uwa namwandkia sms muda mwngne hajibu muda mwngne ananipa hope ananiambia nivute subira . nkasema poa wacha niendelee kuvuta subira na hewa.asa leo Asubuhi nmeamka nakutana na sms iliyonkata knoma.aliandka "mambo,G kuna ktu ntaka nkwambie asa ww unasema...
Back
Top Bottom