Recent content by zolombwee

  1. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Medical report

    Ninachojua Taarifa za afya ni Siri baina ya mgonjwa na mtoa huduma, zinaweza kutolewa kwa mtu mwingine kukiwa na sababu maalumu...kama nakosea nipo tayari kurekebishwa
  2. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Kuna usajili mzito unaendelea Salamander, nchi kutikisika

    Utopwinyo bhanaaa...sasa hali tete kwa simba kisa mwijaku?
  3. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Simba SC, hii ya kubandua logo ya sportpesa na kubandika ya m-bet juu yake ni ushamba

    Ndo mmeamua kumsajili morrison?
  4. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Maelezo yamejitosheleza mkuu...mimi pia nlkua nahitaji ufafanuzi maana mwanzo sikuelewa kuhusu hyo miaka..ubarikiwe sana
  5. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

    Copy & paste...hakika graphic designer wa utopwinyo wako vzr wanafanya kaz nzuri sana...Africa hii hakuna kama wao
  6. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Hii nakumbuka nishawahi kuiangalia ni nzuri sana mkuu
  7. zolombwee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Waje na huku kwetu wayafute bado hawajachelewa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. zolombwee

    JamiiForums Tanzania Tulioapply diploma tukutane hapa

    Pamoja sana mkuu mi pia ni mmoja wa walio apply Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom