Recent content by Zobogo

  1. Zobogo

    CHADEMA jitahidini muwe na "JOPO" la kumshauri mgombea wenu wa Urais ili atakachonena iwe sauti ya Chama

    Muda utasema... Uongo una mwisho, CHADEMA wanauhadaa ulimwengu kuhusu issue ya Lissu. Lakini kilichotokea kinajulikana na hao Viongozi wao wanaujua ukweli lakini baada ya mambo kuwa kinyume tukio hilo limegeuzwa kuwa mtaji. Naamini hata Lissu mwenyewe anajua lakini hana ujanja kwake imekua...
  2. Zobogo

    CHADEMA jitahidini muwe na "JOPO" la kumshauri mgombea wenu wa Urais ili atakachonena iwe sauti ya Chama

    Lissu kajiwekea uhalali wa kuongea chochote huku akitegemea International Mercy kwamba ana watetezi wengi. Katika political arena ni sawa ila kwa nchi Kama Tanzania ambayo imekua inanyonywa miaka mingi tungependa mtu anayekuja na "SERA TATUZI" za mikwamo yetu ya kimaendeleo. Anachuku cheap...
  3. Zobogo

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Ni kweli, vijana wapewe nafasi ila kipaumbele kiwe uwezo wa mtu katika kutenda. Kigezo cha umri tu hakiyoshi badala yake waangalie watu wenye uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo
  4. Zobogo

    GE2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

    Tukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
  5. Zobogo

    Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia. Zuio la kutotoka ndani laongezwa kwa siku 21

    Rais wa Kenya amefunga mipaka ya nchi yake upande wa Somalia na upande wa Tanzania kwa siku 30. Ni hatua nzuri na ya kishujaa ila sijui hali itakuaje kwa wale wananchi wanaotegemea mipaka hiyo kuendesha maisha yao. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Zobogo

    Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

    Corona ni Kama fumbo, ambalo limemchanga kila mtu. Hakuna aliye na uhakika. Karidi ya vyanzo mbalimbali yule Mshirikina wa Sumve (Richard Ndassa) chumba alichofia kulikua na majani ya kujifukiza ila haikusemwa wazi wazi alikufa kwa ugonjwa gani. Mingine Vinyungu vitumike, mwingine dawa kutoka...
  7. Zobogo

    Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Duh.... Hapo wanafunzi waanze maisha mengine tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Zobogo

    Bungeni: Spika ataka Bunge kuwekwa katika orodha ya Vivutio vya Watalii nchini

    Amalizie tu mda wake, aondoke Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Zobogo

    Jiji la Dar kurindima leo wakati Freeman Mbowe akikabidhiwa fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    CHADEMAAAA!!!!! Acheni kuhadaa watu, kwa utoto huo usio na demokrasia ndani yake, Ikulu kwenu itakua ni ndoto ya kudumu ambayo haitakuja kuwa kweli. Endeleeni kubadilisha gia hewani alafu mseme Ikulu mtaiona. - Dalili ziko wazi hivyo mjiandae, kwa mwakani mnaweza msipate hata Jimbo moja la...
  10. Zobogo

    Miradi mingi ya Magufuli haina tija? Ni white elephant?

    Bado hatujapata mtawala tunayetakiwa kuwa naye, baada ya Uhuru tumekua na msururu wa wapigaji. Pamoja na hayo kwa haya yanayotendeka awamu hii yanafunua jinsi gani awamu zingine zote upigaji ulivyokua umeshika hatamu. Afadhali tuzione kodi zetu kupitia miradi feki ya madaraja, ndege, umeme...
  11. Zobogo

    Kanisa likiionya Serikali hapo linaingilia Siasa, likiisifia wako kimya

    Askofu Nyaisonga ni Askofu wa Jimbo la Mbeya na sio msemaji wa kanisa katoliki Tanzania. Ingekua ni kauli ya kanisa nzima la Tanzania kauli hiyo ingetolewa kipitia waraka na sio Kama alivyofanya. Inawezekana yakawa maoni yake binafsi. Hata hivyo asingepaswa kuongea lolote kutokana na uongo wa...
  12. Zobogo

    Kanisa katoliki lijitafakari

    Tafali tuelewe... Kanisa linatoa waraka katika matukio makubwa ya kikanisa Kama Kwaresima na Majilio ila sio kila wakati eti kwa vile fulani kajitoa kwenye uchaguzi. Bado Kuna uthabiti katika kanisa na watendaji wake unakumbuka waraka wa Kwaresima mwaka jana ulivyoleta gumzo, na walisema ukweli...
  13. Zobogo

    GE2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

    Mahiga ni ngumu, Mhehe wa Tosamaganga mpaka Zanzibar ni mbali sana. Possible candidates 1. Hussein Mwinyi 2. Mama Samiha 3. Prof. Mbawara 4. Ali Karume
Back
Top Bottom