Recent content by ZNM

  1. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Basi unachanganya mafaili Mzee, kwani unaelewa nini juu ya matabirio ya siku zinazoitwa za mwisho! Hutaki yatimie au hutaki kuamini unapoyashuhudia? Ndio maana nimekwambia, mambo yanakwenda kwa nyakati zake, huu ni wakati wa kushuhudia unayoyaona na usipoelewa kuwa huu ni wakati wa haya...
  2. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Hisia zako zitakutesa, huenda ndo chaguo lako, umejifungamanisha na chuki, na kwa kujifunga kwako hivi kuna watu wanajifunza na wanapata nafuu ya maisha yao! Naamini ktk kutenda wema na haki kwa kuwa kufanya hivyo ni kujitendea Mimi mwenyewe! Kuwachukia watu na kuwatukana, ni jambo ambalo mtu...
  3. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Sijajua huelewi namna gani, labda niseme tena hivi, hakuna mtu aendeleae kufanya biashara imtiayo hasara! Kushamili kwa makanisa mengi na yanapata waumini, tambua lipo linalowafanya waumini kuhudhuria ibada zao, si bure tu! Tatizo wengine mkikosa matamanio yenu mnadhani watu hawanufaiki ktk...
  4. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Kumbuka, kila jambo lina wakati wake, kupingana na jambo ktk wakati wake hutofanikiwa, wakati wake ukipita mambo yanabadilika!
  5. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Katika hali ya kawaida, mtu anayeshinda kanisani kila siku basi hakuna anachochangia kwa kanisa hilo, na kama anachangia basi ana vyanzo kadhaa vingine vimuwezeshayo kupata cha kuchangia kwa kanisa! Ninachojua, kama kuna wanufaikao ktk kanisa, wao kuhudhuria kanisani kwa huduma, na huhudumia...
  6. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Usichokijua, mtu mmoja anaweza kuishi huku ndani yake kuna roho wengi kwa kazi tofauti tofauti wanaomwendesha mtu huyo! Usifunge ufahamu wako, jiachie usome vyanzo vingine vya maarifa juu ya mambo ktk ulimwengu wa roho!
  7. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Elimu haina mwisho, nakubali na nakubali kujifunza, tatizo lipo kwa anayetoa mada akiamini makala ya inahitimisha elimu! Natoa Rai, someni vyanzo vingi vya maarifa ili msiwe vipofu na kudhani uwazavyo juu ya ufahamu wako ndio mwisho wa elimu! Unataja watu maarufu kiuchumi, kisiasa, kisayansi...
  8. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Kwa lugha rahisi ni kwamba, kila tendo ulitendalo kwa hiari yako linatokana na mawazo yako! Mawazo si kitu yabisi kwa maana twaweza kuyaona, mawazo yapo ktk ufahamu, akili ambazo nazo huwezi kuziona wala kuzigusa! Mawazo, akili tunavitaja lakini lazima tujue vipo kwa viumbe hai, kuimbe hai...
  9. ZNM

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Mafanikio hayatokani na bidii tu, yanatokana na bidii iambatanayo na roho wa mafanikio Sio kila masikini hana bidii, kuna watu wanabidii ya kazi, ubunifu, na nguvu lakini bado ni masikini Ukiambatana na roho wachafu, wabaya, hata usomeje, ubunije, ujibidisheje, hutoboi
  10. ZNM

    January Makamba kupiga doria mito yote kwa chopa(helicopter)

    Jamani, serikali tupo serious na namna ya kutatua tatizo la umeme kukatika katika, tunachunguza kwa nini hii mito imekuwa kero kwa kuzingua kuendelea kujaza mabwawa yatu ya kuzalishia umeme! Doria hii itatoa taarifa juu ya hatua tutakazozichukua mara baada ya kujiridhisha mwendendo mbovu wa mito...
  11. ZNM

    Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Dhahabu, mali na fedha vyote ni mali ya Mungu, na labda nyongeza ni kuwa, Mungu alifanya njia ya kupata baraka na laana kwa njia ya matendo binafsi ya mtu, kwamba ukitenda wema kwa watu wakakutamkia ya kheri, baraka I juu yako! Ukiwaudhi watu na wakakutamkia ubaya, mabalaa yanakuandama! Yaani...
  12. ZNM

    Dr Kijazi: Kutakuwa na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka, wakulima chukueni tahadhari!

    Mkuu, bado kuna mahali umesikia hizo kauli zinaendelea kuzungumzwa?
  13. ZNM

    Dr Kijazi: Kutakuwa na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka, wakulima chukueni tahadhari!

    Kanuni ni hii kwa wakuluma, mvua ya kwanza ya msimu ndio ya kupandia! Hakuna kulala na sasa maeneo kadhaa ya nchi mvua inanyesha! Wakulima tuenzeni kupanda!
  14. ZNM

    Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

    Pia nikukumbushe, hii haiathiri imani yako ya dini! Ukiweza, ambatanisha na maombi au dua kali wakati unafanya nilichokuelekeza, kwa maana, imani yako + tendo hilo = usingizi mwanana usiokuwa na vitisho! Imani bila matendo = bure kabisa!
Back
Top Bottom