Recent content by Ziro Buyu

  1. Ziro Buyu

    Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Hii ni kadi ya huduma na ndio maana hata tiketi za karatasi wanatoa bure kwa gharama zao kwa sababu ni huduma! Mfano Kadi ya benk inatolewa bure.
  2. Ziro Buyu

    Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  3. Ziro Buyu

    Tamthilia yaanzisha tena ugomvi

    Yani kama hii ya Two wife ya Azam mpaka natamani iishe maana inaninyima raha nashindwa hata kuchangia mada, halafu utakuta mchepuka anakupigia simu yani mwenzenu, sasa hivi napenda taarifa ya habari tuu.
  4. Ziro Buyu

    Tamthilia yaanzisha tena ugomvi

    Yani tumetoka kusuluhishwa ukweni suala langu la kuchepuka ila tunarudi nyumbani tunawasha TV tu tunakuta tamthilia halafu mwanaume ana wanawake wawili na ana mtoto nje halafu mke wake hajui. Yani hapa nishanuniwa tena.
  5. Ziro Buyu

    Waliokutana na kadhia hii ya Trafiki, ungana na mimi kukataa!

    Nafikiri Leseni ni kigezo cha kumtambua dereva kama anakibali cha kuendesha gari husika maana kutokuwa na leseni au kuwa na leseni ambayo haiendani na gari unayoendesha pia ni kosa.
  6. Ziro Buyu

    Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

    Kama tungeshinda tungesemaje? Tatizo Mpira tunaocheza ni bahati nasibu na sio uwezo wa wachezaji!
  7. Ziro Buyu

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ulichokiokota ndio chako
  8. Ziro Buyu

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Siku zote watanzania tunadhani maisha ni rahisi kama tunavyofikiria na sio uhalisia wenyewe, Hakuna tajiri wala mtu maarufu yoyote wa Tanzania alijiunga na hawa Qnet kwanini? Kwani wao hawataki kuwa matajiri zaidi!! Huu ni utapeli tanashati ambapo kila mjinga anampeleka mjinga mwenzie ili kukuza...
  9. Ziro Buyu

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kulikoni humu ndani mbona kimya?
  10. Ziro Buyu

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Hivi SUMATRA wanapokuja na zuio la mazungumzo ya siasa na dini kwenye mabasi wametizama ile ibara ya 18 ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na vifungu vyake vyote.
  11. Ziro Buyu

    Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Yote na yote bado yupo kwenye siasa za Tanzania, afandali angesema ameachana kabisa na suala la siasa, na kuamua kuafanya mambo mengine binfsi, kweli vyuma vimekaza yani kuhama ndio habari ya mjini haijalishi unapotoka wala unapokwenda chamsingi kuhama tuu tuji re-brand kisiasa.
  12. Ziro Buyu

    Mauaji ya Pwani, ni mbinu ya kuwachonganisha wananchi na Serikali

    Hapa mkuu umenipa assignment ya kutafuta mbinu iliyotumiwa na huyo mfaransa Generali Louis Hubert nione ilikuwaje.
  13. Ziro Buyu

    Kwanini wanajeshi wanaita kazi za polisi ni za kike?

    Nikisoma vizuri hizi comment nagundua ndani yake kunamajeshi yote yanachangia mada, yote na yote majeshi yote ni kwaajili ya ulinzi na usalama wa nchi na raia wake.
Back
Top Bottom