Recent content by zinj_

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    😂😂😂🤣🤣
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hangary: Hatutoafikiana na EU kuweka vikwazo dhidi ya mafuta na gesi ya Russia, 90% ya waHungary watapata dhiki kubwa na uchumi wetu utaanguka

    Mkuu: Tangu aondoke Angel Markel EU imekuwa inayumba sana. Chancellor Markel alikuwa driving hub kwenye EU.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    Log in to: RT News24 and FOX News
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    expand...Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini? Wewe siasa huijui wala hutoifahamu. Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    Mashariki mwa UKRAINE vimegundulika vituo vya maabara za kutengeneza silaha za kibiologia zenye ufadhili wa Marekani, je hizo ni za nini? Wewe siasa huijui wala hutoifahamu. Nenda kanisani kahubiri injili itakusaidia kwenye Maisha yako.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Hilo neno la "kuwashwa washwa" umelitohowa kwa nani?
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Mkuu: Kwa Chuo kikuu cha Timbuktu kulikuwa na masomo mengi yàliyo fundishwa hapo. Ni zaidi ya seminary ni vyema ungefuatilia kwa makini kuhusu historia yake.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Mkuu: Hizi paper mbili umezisoma zote.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

    Mkuu: Usichanganye madesa, hapa kuna Brigadier Hashim Mbita na Brigadier Mosses Mnauye.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

    Picha ya kihindi.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    Halafu muda si mrefu wanaleta nyingine na kuita an updated version, hiyo iliyo nunuliwa imepitwa na wkt.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

    Watu Wanasema sasa hivi JK Hachomoi, ....."Hivi nilichomeka wapi?".....
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    Mkuu: Huku kwetu watu watakuwa wanashinda kwenye hayo mabustani, na kupelekea kuongezeka kwa umasikini.
Back
Top Bottom