Karibu nyumbani Balozi Dkt. Nchimbi. Pia chukua tahadhari, mambo yamebadilika sana

Mtoto mlezi wake kikwete ondoa Shaka magufuli aliogopa hata angemtupa Kongo ikabidi aende brazil mbalikabisa mama yukosalama
 
Nyerere wa keshokutwa ndo ametufikisha hapa. Alikata kona kabla ya kona yenyewe.

Kama alijua katiba ya 1977 haikuwa mzuri mbona aling'atuka irihali hajaifanyia mabadiriko.

Kina #Kambona ndo waliokuwa wanaoona mbali.

Majuto nimjukuu.
Wasomi wa Nchi hii, ni furu kujinyenyekeza. JPM
R. I. p ametufundisha mengi tukome. Elimu siasa,.
Mkuu umeongea kitu cha maana sana, nawaambia watu kila siku matatizo yote ya katiba mbovu msingi wake ni Nyerere. Alitengeneza katiba ngumu sana ya kumlinda yeye binafsi, serikali yake pamoja na chama. Akaondoka akaiacha kama ilivyo sasa inatumiwa na viongozi wa ovyo
 
Mbona umenikosha sana moyo wangu mkuu/barikiwa wewe na familia yako
Hizi tabia za kutegemea siasa au teuzi za serikali ili kuendesha maisha yako ni za ovyo sana, uzoefu alionao aende sekta binafsi na yeye afungue kampuni aajiri wengine, wengine wanaandika kama hakupiga imekula kwake, mentality za ufisadi hizi na kufikiri serikali ni sehemu ya wizi na kujitajirisha, watu lazima wajue sekta binafsi ina opportunity nyingi mara milioni kuliko serikalini, tubadilike
 
Mkuu umeongea kitu cha maana sana, nawaambia watu kila siku matatizo yote ya katiba mbovu msingi wake ni Nyerere. Alitengeneza katiba ngumu sana ya kumlinda yeye binafsi, serikali yake pamoja na chama. Akaondoka akaiacha kama ilivyo sasa inatumiwa na viongozi wa ovyo
Hakutaka CCM iondoke mamlakani
 
Hujui kama anaogopwa na sukuma gang au unajitoa ufahamu?
Nani anisaidieni tafsiri ya sukuma gang japo kwa sentensi 3, katika muktadha wa sasa.

Mathalani, mimi nilikuwa mshabiki sana wa JPM na nilipiga kura zote tatu kwa wagombea wa ccm 2020 hapa kwetu ktk jimbo la nsimbo.
je na mimi ni sukuma gang
 
Back
Top Bottom