Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

Magufuli kama aliamua kupambana na hao jamaa angepambana nao mwanzo mwisho, kuliko kuwa na nia, uwezo, na sababu lakini akaacha kwa lengo la kuwalinda wastaafu...
Kuwataja sio issue muhimu awe na support documents za hayo maagizo maana sabaya kala Mvua kwa kutoa maneno matupu kuwa aliagizwa kutoka juu
 
Unaambiwa vyombo vya dola vilishaenda kumchukua kumpeleka kolokoloni kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulisababishia Taifa hasara kupitia baadhi ya mikataba ya madini aliyoingia wakati akiwa Waziri akiiwakilisha Serikali...
Watanzania wenzangu tena magreat thinkers hizi ni conspiracies tuziangalie vizuri kwa makini. Maelezo haya yamekaa kishabiki sana kuna kitu yanataka kuvuruga, naona kuna misigano mikubwa ya utawala uliopita na wa sasa wanaocheza hii michezo kuweni makini nchi yetu sio nyepesi tuko vizuri kulinda tunu zetu za Taifa Umoja na mshikamano
 
Magufuli kama aliamua kupambana na hao jamaa angepambana nao mwanzo mwisho, kuliko kuwa na nia, uwezo, na sababu lakini akaacha kwa lengo la kuwalinda wastaafu...
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Acha bwana!
 
Hawana akili achana nao. Kama wale waliokuwa wanamchukia Magufuli ambavyo sasa wanamkumbuka.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kumuhukumu Kikwete nikumuonea tu kwani kila kiongozi ana mema na mazuri yake. Kila zama na kitabu chake hivyo Kikwete na Jpm hawakuwa malaika wana mapungufu yao pia wana mazuri sio lazima kuyaorozesha hapa. Sio vizuri kuwaza mambo kwa chuki Sasa hivi kuna mikanganyiko na misigano ya makundi vijana tukae neatral tusiwe mashabiki wa upande wowote tutalibomoa Taifa letu
 
Back
Top Bottom