Recent content by Zimboland Mogul

  1. Zimboland Mogul

    Msaada kujaza self form

    Mimi nimeshindwa kabisa ku register, inasema information hazi match pamoja na kuweka kwa usahihi. Kuna msaada wowote naweza pata?
  2. Zimboland Mogul

    Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Wewe unajua chanjo inavyofanya kazi? Mpaka udhani solution ya Corona sio chanjo?
  3. Zimboland Mogul

    Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Wewe ni kajinga, nani kakuambia thrombosis ndio major complication ya Corona? Alafu nani alikufundisha thrombosis, thrombosis inatibiwa kwa vitamin C? Halafu "underliming" conditions nini? Ulitaka kuandika "underlying"? Tuishie hapo husinipotezee muda.
  4. Zimboland Mogul

    Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    I'm a medical practitioner, I don't raise things out of thin air. Nikiongeacho nakijua. Wewe endelea kushupaza shingo.
  5. Zimboland Mogul

    Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Na wewe tuliza akili ufikirie kama Tanzania ingekua inapima na ku document watu wanaokufa na Corona hizo inchi zingekua afadhali. Mnadanganywa na "media blackout" na kudhani eti hapa tumedhibiti ugonjwa, huu ni ujinga wa hali ya juu. Watu wanapata ugonjwa bila kua documented, wanakufa bila kua...
  6. Zimboland Mogul

    Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Sisi tunataka chanjo tujikinge na Corona. Iwe ya Burundi, Kenya, china,Malawi, Russia, UK au USA sisi hatujali, chamsingi iwe safe na effective.
  7. Zimboland Mogul

    Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Ushubwada tu, kwani nchi inashidwa kufanya vetting kuhakikisha supplier wa chanjo ni genuine? Dawa zote na chanjo zote, Zina changamoto za counterfeiting,hata ARV, ALU na nyinginezo zinachangamoto hizo ila hatujawahi kusema hazifai na tusiagize. Hivyo kukamatwa kwa chanjo feki kusiwe...
  8. Zimboland Mogul

    Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Mpumbavu ni wewe unaendika vitu husivyojua. Husinipotezee muda kapige, nyungu si ndio chanjo yenu.
  9. Zimboland Mogul

    Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    Elimu ya Tz, kuanzia form one mpaka PhD iko kwa kiingeereza. Na PhD za Tz lazima zifanywe kwa Kiingeereza except PhD ya kiswahili. Hivyo ni kitu abnormal kwa kwa mtu kumaliza PhD hajui Kiingeereza cha kuongea au anaongea hovyo. Hata kama ni PhD ya kemia, bado hiyo kemia Katika usomaji na...
  10. Zimboland Mogul

    Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Wewe ni mpumbavu unae andika ku justify upumbavu wa wenzio. Hujui chochote kuhusu mambo ya chanjo China. China wako keen kuanza kutoa chanjo, wamesha develop chanjo yao inaitwa BBIBP-CorV iliyo tengenezwa na kampuni ya Sinopharm tangia December mwaka jana. Hawapapatikii chanjo za magharibi...
  11. Zimboland Mogul

    TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    May his soul RIP. Huyu Mzee alikua moja ya waumini diehard wa Meko, mwaka 2015 tukiwa kidato cha sita Bwiru Boys, alikua akitulazimisha twende kwenye mikutano ya CCM. Muda mwingine alikua akitukuta wanafunzi tumekaa, anaanza ku bragg kuhusu sentiments na sera za Magu na CCM, kama ananipigia...
  12. Zimboland Mogul

    Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

    Hizo ni orders ambazo ziko kwenye mafaili zitakuja kua revised. Sio kwamba sababu kaondoka ofisini basi yameisha. Na utawala ambao utakua mkali zaidi kwa wakiukaji wa demokrasia ni huu wa Biden. So don't think kuwa hayo maamuzi yatukua reversed. Yanaweza kutiliwa mkazo na kuongezewa vikwazo...
  13. Zimboland Mogul

    Ukiacha Kenya, hii kitu hufanyika wapi hapa duniani?

    Tanzanians, psychopathic egomaniacs who keeps on slamming other countries while their own backyard is on profound mess. Watanzania hebu tuacheni maneno, let's resolve our very own shit first before we turn our eyes somewhere else. We still have a long way to go. Disclaimer; I'm a de facto...
  14. Zimboland Mogul

    Tofauti ya makaburi ya viongozi na ya watawala

    Mwili wa Vladimir Lenin ambao umetunzwa tokea kufa kwake 1924.
  15. Zimboland Mogul

    Tofauti ya makaburi ya viongozi na ya watawala

    Kaburi la Abraham Lincoln.
Back
Top Bottom