Recent content by Zidovudine 300mg

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Wiki sasa sina amani

    Oya nakupa hii chukua ,kama umepima uko salama ,fanya ufanyalo mshawishi akapime iwe Kwa kudanganya au laaa,hakuna chakutumia dawa vizuri au nn ukipata umepata ,hiyo inshue kwamba kuna watu hawapati ni 1% Ndani ya milioni 60 ,subili mwezi uishe ukapime tena Ndani ya miezi mitatu ,inawezekana...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

    Background check akikuficha utafanyaje ,Sema nn Tupige magoti Tumuombe Sir before kuchagua Sema Wana tuna yumba tunachagua Kwanza ndo tunamuomba Mwenyezi
  3. Z

    JamiiForums Tanzania KERO Tahadhari ya Lugha ya matusi; Hivi serikali imeshindwa kupambana na matapeli wanaopigia watu simu wakijifanya wafanyakazi wa kampuni za mawasiliano?

    Kwenye stories of change mwaka 2024 niliandika andiko zuri lakuisaidia serikali na Tcra kwenye hili swala ,kama watazingatia basi itakua suruhisho
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara kufanya mapenzi kabla ya kumaliza dozi ya UTI?

    Nenda kale Demu mwenye UTI tena Ile sugu uone kama hujakojoa kesho yake Panauma
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

    Daa nimecheka kichizi hiyo code uliyotoa hapo kama huna B mbili huelewi
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Nimepata homa kali baada ya kufanya mapenzi

    Gono Hilo wahi hospital usisahau kupima HIV
  7. Z

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa PSSSF Musoma wanafanya kazi wanavyojisikia, waongo na hawatimizi wajibu wao

    Ni mgonjwa anatakiwa kwenda kuhakikiwa nyumbani tumepigwa simu tumewambia hata nauli waje tutawalipia wanasema wanakuja hawaji Hadi pay rool ya mwezi wa Sita imepita hakupata pension tulitakiwa tumpeleke hospital tumekwama.wanapigiwa simu toka tarehe moja wanasema kila siku wanakuja hawaji...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa PSSSF Musoma wanafanya kazi wanavyojisikia, waongo na hawatimizi wajibu wao

    Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu, mama mzazi amekosa pension yake kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakuja ila hawaji, ukiendelea kuwapigia hawapokei then wanaku-block Kuna mfanyakazi anaitwa Gabriel muongo anadanganya wateja watu...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upatikanaji wa taulo za kike(ped) bure kwa mabinti mashuleni

    Upatikanaji wa Taulo za kike (ped) bule Kwa mabinti kuanzia shule za msingi Hadi kidato cha Sita Serikali haijaingiza swala la upatikanaji wa Taulo za kike Kwa wanafunzi kama kipaumbele kimojawapo cha Afya kwenda sambamba na Elimu inayotolewa bule UTANGULIZI Swala la hedhi nila kibiolojia ni...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namba moja ya simu inayoweza kutumia mitandao Yote (Single phone number multiple phone network)

    Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja Moja ya huduma hizi ni pamoja najua na namba moja ya simu ambayo itatumia mitandao yote, mtu atakuwa na namba moja ya simu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

    Yesu sio mtu ni Mungu
Back
Top Bottom