omba Kibali, onesha umuhimu wa safari kwa taasisi na taifa kwa ujumla kisha subiri ridhaa usafiri zako..!hizo training toka zianze kutolewa zaidi ya kufaidisha wasafiri binafsi sijui kwa kiwango gani nchi imenufaika..hili nalo ni muhimu litazamwe.
Kwani kupata Kibali tatizo ni mini?utumishi wa umma una misingi yake ni vzr watu waijue na kuiishi.na ukiona inakubana huwezi kulazimishwa kubaki,waweza angalia kunapokupa amani zaidi.kuwa likizo hakukuondolei sifa za UTUMISHI.fuata sheria na taratibu.
Nafikiri aliyeripoti alimaanisha sheria ya usimamizi wa mazingira ya 2004 ndiyo yenye kuzungumzia hizo mita 60...Sheria za ardhi zinabaki kuitwa na4 ya ardhi na 5 ya ardhi ya vijiji za 1999 pamoja na marekebisho yake.
Dah kama kigezo ndio hiking,safari yeti bado ni ndefu..Hayo masomo ufaulu au ufeli sijawahi kuona impact yake kwenye elimu dunia..!Kwanini tusiweke nguvu kwenye yaliyobaki kama hilo moja ndio tatizo?maana hata combination hayana Labda kwa wanaohitaji shughuli za kidini.
mnaompinga ninapata mashaka na hofu zenu huenda mnapenda mteremko kwenye elimu.
Hii haipo popote,lazima upambane kweli.Siyo hizi merits za BRN na mitihani ya multiple choice hadi hisabati.
Kwa dhati kabisa nampongeza mufti kwa hatua aliyochukua..ni ishara ya ukomavu na dhamira madhubuti ya kuijenga BAKWATA imara.Naunga mkono hoja ya mkono huu wa TRA kuzifikia pia taasisi nyingine zilizonufaika na misamaha ya kodi.
Wazazi tukiona mtoto anatamka viingereza tunaamini huo ni ubora..si Shule zote za binafsi zinatoa elimu bora nyingi walimu wa bei rahisi na unqualified ili kuongeza faida..Shule hizi Ndo unakuta zinaleta walimu toka nchi za jirani wanaotumia zaidi kiingereza ili kuhalalisha bei..!Serikali...
Hivi unadhani hakuna mamlaka ya kudhibiti hizo hospitali na vyuo binafsi?kulikuwa na ulegevu kwa kuwa waliopaswa kusimamia walineemeka na uholela huo.salsa utashi umerejea na sheria itafuatwa.Hutaki funga shule yako.Hivi wanafunzi wa hizo Shule wakichaguliwa UD na hizo private universities...
Tatizo kuna watu mnapenda vitu vya bei ghali mkiamini ni bora, Shule hizi nyingi product zake ni kiingereza cha kukariri tu lakini uwezo wa kuelewa na kupambanua ni kawaida sana..bei zisipopangwa ni fujo..naamini kwa kuzingatia gharama halisi za uendeshaji na ubora unaotolewa shule zitapangwa...
siamini kama utetezi huu unatoka kwa wakaguzi wenye utashi wa kutumia weledi kuepusha matumizi mabaya,instead naona watu waliokuwa busy kukagua ili kukuza vipato vyao..
Tujikite kwenye mifumo ya kisasa na kuepuka direct contact kati ya Mkaguzi na mkaguliwa kuepuka mazingira ya rushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.