Recent content by zeuman

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Baada ya placement za hal mashauri kutoka sasa ni dhahiri kuwa placement za wizara ya afya zilikuwa kutoka database!! Kwenye wizara watu hawakupangwa kutokana na machaguo yao. Lakini placement za halmashauri zimepangwa kulingana na machaguo ya mikoa ya waombaji!! Kwa mfano namfahamu mmoja...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa watu wa kada za afya! Bila shaka itakuwa hivyo kwa walimu pia!!
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kanuni za PSRS hazikubaliani na hoja hiyo!! Mamlaka ya ajira iliyoomba watumishi ndio inapewa kipaumbele!! Kumbuka PSRS wanafanya kwa niaba ya waajiri!! hawawezi kubadilisha!! Waliopangwa wizara ya afya na taasisi zake hao ndo walikuwa na alama za chini!! Kitu kibaya kilichotokea ni kuita watu...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tatizo la LGA ni usumbufu wa madiwani!! Pia hofu ya wakurugenzi kuhusu usalama wa nafasi zao!! Akitembelea kiongozi kwenye kata husika watumishi wote wa halmashauri lazima wawepo hata kama ni jumapili!! Kwenye mikutano ya hadhara watumishi hulazimika kujibu kero za wananchi papo kwa papo! Ole...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Timu ya wananchi tayari inahesabu kufikia kilele cha mafanikio kuingia hatua ya makundi! Kwa maono hayo ya kuku nawapa pole wanaosubiri ushindi! watasubii sana!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Naona bado bila bila.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pole! Ila hakuna namna nyingine, endelea kuomba ili uwe na "received" nyingi kuna siku utatoboa.
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu mzazi kaanzisha mahusiano ya kimapenzi na kijana mdogo, inaniuma sana

    Ni vema ukiokoka kwa kumwamini Yesu!
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Sema tu kuwa unatafuta makahaba wa kuweka kwenye madanguro kwa kificho cha massage.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

    Lazima watu wakimbiane . Kuna waliojinasibu kama wadada kumbe ni mabibi! kuna waliojinasibu kuwa ni matajiri kumbe ni makapuku wa kutupwa! na mbaya zaidi kuna waiojinasibu kama mabinti warembo kumbe ni LGBT / mabwabwa, nk, nk.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Tuweni wapole! kama kipo kipo tu hata kama kikichelewa, lakini pia kama hakipo hakipo tu hata kama kikiwahi!
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Usaili kwa simu!!
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Tusidangane! Ushoga siyo wa kurithishana! Hakuna aliyezaliwa akiwa shoga! Hakuna kinasaba cha ushoga! Kwenye genetic map ya mtu hakuna kinasaba cha ushoga! Kinachotokea ni kwamba mashoga wengine walinajisiwa na watu wabaya (watu wao wa karibu) tangu wakiwa watoto wadogo, hivyo...
Back
Top Bottom