Ushauri wangu kwako ni stricktly leave her,if you want your safety and date her if you want to be sodomized,he will find you at all cost once he find out dat u date his wife mke anauma ucpime jiheshimu starehe ya dakik 5 isikuharibie ingawaje unaonekana ulihitaji go ahead tu ha" pima mwenyewe...
Kudadadeki kumbe we ni wa gimbi umetisha sana ila shimo unalosema ni kwa maana ipi yaan ujifukie kisa gimbi na mistarehe yako pole wenzio wanasema ya kale dhahabu dada ha!
Congratulation ndg! Mawazo yako ndo yanatakiwa kutake precedent ktk suala la upendo na c age hongera kwa kuchukua uamuzi mgumu ndg na nakutakia ndoa yenye amani na utulivu kaka ha!
Nimeipenda hiyo wengi tunaona km ni last resort kwa sabab ya ombwe la unemployment duh! Kweli obedience,torelance and strenth ni nguzo za mafanikio ktk jeshi ha!
Experience 2-3 yrs tusio na hiyo x tutajiajil wenyewe mh! Na hilo tangazo mbona liko kienyeji namna hiyo ha! Field ya sheria c kama unavyofikilia watu wanasugua hadi miaka 4 wakisoma tafadhari heshima izingatiwe.
Pole dada kwa kuwa unaishi kidhanifu sana na kama uko ktk uyakinifu mh! Huo una discripance, dada jaribu kustahi wanaume...ANGALAU 2MILLIONS per month ooh! Umetisha sana dadaangu ha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.