Recent content by Zero_Day

  1. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

    Kwani swaumu hua ina Anza saa ngapi? Tuanzie apo 🥱
  2. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

    Kupanga ni kuchagua
  3. Zero_Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

    Ulegegevu Kwa mwanaume ukitoa umri unaletwa na kujichua, na Kwa mwanamke pia ukitoa umri ni kutumika Sana bila ya uke kupata muda wa gain ile elasticity pia kujifungua hasa wale wanao jifungua watoto wakubwa.... Mazoezi ya kegal hua yanasaidia kuyaweka maumbile kwenye Hali yake ya mwanzo Kwa...
  4. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Wafadhili watubane tu mpaka ifike mahala kununua kilo ya unga iwe ni mtihani halafu tuone hawa polisi, TISS na Jeshi kama wataendelea kulinda watawala

    Nimeona Mwananchi forum kapost "wakipewa zawadi Nono ya Magari"
  5. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

    Bado lile li ujumbe la page 82 kutoka ICC, wapo kwenye mazoezi ya kingereza muda huu
  6. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Butterflies love nature!!
  7. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Wasio na Amani mkuu!!... Nimempa mifano ya nchi zisizo na Aman ulimwenguni Kwa sababu, Amesema; Kwa sasa Tanzania inaonekana na kuongelewa kutokua na Amani ulimwenguni kote.
  8. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Kuna hawa wamba hapa: Sudan, Ukraine, Israeli na Palestina (Gaza), Syria, Yemen, Kongo (DRC), Myanmar, Afghanistan, Sudan Kusini, Mali, Burkina Faso, Niger.. baada ya hawa labda ndo iyo Tanzania ina ingia
  9. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Pishi la ugali na dagaa

    Ugali bila dagaa Bora nile Chips
  10. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania Usajili taasisi ya mikopo

    Pitia huu Uzi wa QNET.. https://www.jamiiforums.com/threads/mambo-30-usiyoyajua-kuhusu-utapeli-wa-q-net-network-marketing.1340251/
  11. Zero_Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kwanini sikumwambia mapema mpaka anaondoka. Niliamini kuwa na subira mambo yangejipa

    Dunia ime endelea Sana kidijitali.. unashidwa vipi kumpata?!
  12. Zero_Day

    JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    Mjaribu kuongea na vijana na kuwaelewesha, elimu sio lazima UDSM Tu, kikubwa ni commitment, passion na curiosity
  13. Zero_Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wananitumia kisha wanaondoka

    Nenda dawati la kijinsia kawasilishe changamoto yako
Back
Top Bottom