Vijana wapunguze hopes za kuitwa itasaidia Sana Kama akikosa lakini atakua disappointed Kama akiwa na hopes...mchuano ni mkali Sana according to mmoja wa wateuzi nilisikia Jana around tar 10s majina ya kidato Cha 4 na 6 yatatoka...subirini
Kwani si wamesema wanataka almost Failures Sasa madudu yote haya ya Nini..?? Hizi ni sababu tu za kuwanyima.
Unaenda kuanza Chekechea kwenye usahili unapewa mtihani wa mwandiko, shenzi Sana si bora wa waambie madogo ukweli halisi.
Mtoto wa polisi huku mtaani kanyimwa na baba yake akiwepo kituo...
Darasa lilikua linapiga zogo kinoma, ticha alivyokuja tukapiga kimya akasema watajwe au anachapa Darasa Zima....akagoma akasema Kuna watu walikua wanacheza mpira wa visoda darasani ndo akataja maninja wote tukapigika.
Ticha alivyosepa tukamjia juu tukampa shit, nikamshika Lake Natron akawaka...
Nakumbuka Ilikua Ijumaa mida ya kutoka mapema Waislam wanaenda masjid, Darasa letu E ndo lilikua na watu vilaza na ndio wa mwisho kuhusiwa.
Kuna katoto Cha kiarabu nikakaandikia ujumbe wa kukapiga sound wakati Nampa kumbe jamaa wengine nje wananichora nao walikua wanafukuzia, bwana wee muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.