Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,000
Tupeni lonja tuishi

Hivi mtu akiwa ametoka meno yote ya mbele anaweza kupita kwenye usaili na Hana mtu wa kumshika mkono anategemea tu vyeti vyake.

Naombeni lonja katika hili
 
Choo Cha Kulipia

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
959
1,000
Kama kuna mtu wa kidato cha 4 na 6 ambaye yupo humu anasubiria lonja za majina kwaajili ya usaili asipoteze sana muda humu,awe anapita kwenye mbao za matangazo za ofisi za RPC au RC wa mkoa husika.

Wale wa Astashahada,Stashahada,Shahada mliotuma awali maombi yenu endeleeni kuvumilia majina yatoke pamoja na ya hawa waliotangaziwa kutuma jana maombi mpaka tarehe 29 ndiyo mwisho.
 
Jeshini mapengo huchukuliwi,labda uyapatie kwenye ajira.

Meno yana msaada mkubwa sana kwenye ubebaji wa vitu vizito kama ilivyo marinda,kwahiyo kama huna meno ya mbele wewe ni UNFIT.
 
Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
1,000
Kama kuna mtu wa kidato cha 4 na 6 ambaye yupo humu anasubiria lonja za majina kwaajili ya usaili asipoteze sana muda humu,awe anapita kwenye mbao za matangazo za ofisi za RPC au RC wa mkoa husika.

Wale wa Astashahada,Stashahada,Shahada mliotuma awali maombi yenu endeleeni kuvumilia majina yatoke pamoja na ya hawa waliotangaziwa kutuma jana maombi mpaka tarehe 29 ndiyo mwisho.

Duuh kumbe yatatoka pamoja na haya wanayoomba..??duh hapa had November hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom