Ukweli mchungu ni huu :
1. Asilimia zaidi ya 98 % ya wafata dini za Ibrahim (Ukristo, uislam na Uyahudi/Judaism) hawajui kwa undani mafundisho ya vitabu vya dini hizo.
Nasema hivo kwa sababu, waumini wa hizi dini iwe maimamu, ma-askofu, rabi au waumini wa kawaida, ukiwauliza maswali kutoka...