Recent content by ZePovu

  1. Z

    Unahitaji nini kutoka South Africa?

    JBL soundbar 500 mpaka Dar bei gani
  2. Z

    Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Hapa
  3. Z

    Pongezi kwa TANESCO Dodoma

    Ahsante sana, jambo la msingi ni Tanesco kuwa na KPI mteja akilipa afungiwe baada ya siku ngapi? Sio jambo la msingi kila mtu aje aseme nimelipia lini au kutoa namba wakati system inaonyesha. Kama kuna shida toeni taarifa sasa hatupokei pesa hatuna vifaa sio kuwafanyia utapeli wananchi mwishoni...
  4. Z

    Pongezi kwa TANESCO Dodoma

    Nimelipia kupitia nikonnect mwezi umepita hakuna kitu
  5. Z

    Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Kuwa unapost vitu kama music system za kisasa na electronics ambazo hazipatikani Tanzania
  6. Z

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Alafu mradi uje ufanikiwe ni ngumu sana. Safari za mbali wakiweza kuanza ziwe zinafanyika usiku baada ya mchana kuokoa muda.
  7. Z

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Tuliambiwa vichwa vya treni vitafika mwishoni mwa mwezi wa saba au mwanzoni mwa mwezi wa nane. Huu mradi umejaa uongo kweli
  8. Z

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Hata nyumba zikiwa kumi hawakubali wanataka mjichange msogeze huduma sio kwamba watasema pale ziko nyumba kumi tuwasogezee huduma.
  9. Z

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Hiyo ni gharama kama hawataweka nguzo, maana yake uko umbali wa mita hamsini kutoka nguzo ilipo. Zaidi ya hapo jiandae kulipa mamilioni ndo upate huo umeme
  10. Z

    Mbunge Fransic Mtinga: Serikali ilijidanganya kupandisha bei ya kuunganishia umeme, ataka irudishwe kuwa Tsh. 27,000

    Ile ni biashara why nilipie vifaa kama nguzo na nyaya alafu watu wengine waunganishiwe huduma na miundombinu iwe yao. Huo ni wizi wao kazi yao ni nini.
  11. Z

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mzee kipande cha Dar Moro kilitakiwa kuisha 2019, wote ni wale wale
  12. Z

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hii nchi kila siku wanasema wanategemea vichwa kuwasili April na kuanza operations May now naona wameamua kupiga kimya
  13. Z

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Huu mradi umekuwa na kalenda nyingi sana sijui utaanza lini
Back
Top Bottom