Kiongozi hata usikatishwe tamaa, hili wazo lako linatekelezeka na hata halina shida. ukienda kwenye maduka mengi ya pembejeo, mbegu ya mchicha iliyofungashwa vizuri na kuthibitishwa na TOSC (Mamlaka yenye dhamana ya kusajili na kuthibitisha mbegu) mbegu za mchicha hazipatikani. wauzaji...
Ili kuweza kuibadili gas Yetu iwe katika kimiminika na kusafirishwa kwa njia ya mitungi, Project inaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Kwasababu hili likiwezekana ni hakika tutaifaidi Gas hii maradufu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unaweza ukawa sahihi lakini tulitakiwa kufuata democrasia ndani ya nchi zetu za Africa ili kuhakikisha hao unao waita vibaraka wakose cha kutusemea, sasa wewe unatembea na kinyesi afu unataka inzi wasikufuate?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.