Recent content by zenobby

  1. Z

    UKAWA, mbona mpo kimya wabunge wetu kupewa mafao makubwa kiasi hicho mil 230 kila mmoja?

    hapo ndipo unapoona unafiki wa chadema na ukawa kwa pamoja....wananchi shid zetu wanazipinga lakin kwenye shida za matumbo yao wanazikubali na hata kutafuta point ili ziongezekee....wananchi tunawajuwa wabaya wetu ni akina nani na wapi ni wanafiki
  2. Z

    Mtanzania kulipa milioni tatu kwa ajili ya starehe ya siku moja ni ujambazi na kufuru

    hiyo ndo point ya msingi...kuna watu hawalali wanatafuta pesa na wengine wanafanya kazi ngumu mtu mwingine amekaa kupangia wengine matumizi ya jasho lake
  3. Z

    Mtanzania kulipa milioni tatu kwa ajili ya starehe ya siku moja ni ujambazi na kufuru

    sasa ww mkuu....unacholalamika hakina mashiko mm napesa zangu nije kukupa ww unaeshindaa hum jf bla kupiga kazi
  4. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ndio mkuu...tena hata haikuchelewa kufika hiyo sms ya kuwa pesa ishatumwa meridian
  5. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    msaada wakuu...tokea jana nmeingiza pesa kwenye account yangu ya meridian bt had leo bado haionekan na kwa mpesa wameshakat pesa...nifanyaje wakuu
  6. Z

    Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

    mjini leo kugumu kama huna kwakwenda...kaamua kwenda mwanza kutuliza aibu na huku akipewa picha na mashabiki wake kile kinachoendelea mlimani daah noma sanaa
  7. Z

    job vacancy bot

    nlisikia kwa mtu kuwa yametoka na kunawatu wameitwa kazini.....bt cnauhakika maan nistory katika kupiga ndo ikaingiziwa hiyo ishu
  8. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba namba ya kumbukumbu ya meridian...samahn wakuu nmeisahau
  9. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Excel; thanx mdau....buku 5 itakuja
  10. Z

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba kuuliza jamani..hii inamaana gani kwenye meriadian( 1X, X2, 12 )
  11. Z

    Shuka kubwa size 8*8 kwa Tshs. 20,000/=

    vipi unaletewa ulipo kwa hap dar au nawafuata huko
  12. Z

    Mke wangu anachoka mapema kwenye tendo la ndoa

    mdau pole sana hilo tatizo wanalo wengi na pia kuchoka mapema inaweza kusababishwa na tabia ya mkeo kwan wanawake walio wengi huwa na mchepuko so akirud home usiku anakuwa amechoka na pia inategemean kam hilo tatizo ni kila cku ama ni la cku na cku...kama lakila cku nakushauri mkamuone doctor
  13. Z

    Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

    mkuu unaongea sana lakin hujatueleza huyo mtu wako mwenye kukosa kasoro kama ulizotoa....
Back
Top Bottom