Recent content by Zendeni

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

    Wametoka huko wapi? Serikali na Mashirika mpaka sasa wanaagiza hizo gari za Manual hata hilo V8 analotembelea Samia Saluhu ni Manual hiyo Technology ya Manual haiwezi kuisha karibuni kama unavyofikiria.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni huyu Ndugai aliyewaapisha wabunge gereji?

    Hawa akina Halima Mdee wana Wakati mgumu sana walikosa Subra, Ccm hawatakiwi Chadema walishafukuzwa alafu wanapishana na Tume huru ya Uchaguzi 2025
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!

    Hakika tutegemee kupata Tume huru na Katiba Mpya maana ndio hoja za Wapinzani
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Chama ameshavunja mkataba na Berkane na anakaribia kurudi Simba

    Hata Torres pale Chelsea alifeli Di Maria Man United alifeli pia
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tatizo la marefa wa Kitanzania lilishatengenezwa muda mrefu na TFF awawezi kulikwepa

    Safi sana umelipa vijidonge vyake hili Liutopolo
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

    Aibu naona mimi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    Mbona Barakoa zimevutwa mpaka kwenye Macho
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

    Huyo Zawadi Mauya sijui walimtoa wapi yeye ni rafu tu mwanzo mwisho
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Gari ya push to start kugoma kuwaka

    Hiyo teknolojia inawezekana hata huko wazungu imewazingua ndo maana magari ya kuanzia 2015 wamerudisha ufunguo
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Suzuki Jimny , Manual or Automatic

    Gear box ya manual transmission inadumu muda mrefu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Suzuki Jimny , Manual or Automatic

    Chukua Manual transmission
Back
Top Bottom