Recent content by Zemanda

  1. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Mleta uzi usitukosee adabu. Acha upuuzi.
  2. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

    Watoto wao waanze kuhama tu inchi kwasababu tayari kisasi kipo juu yao.
  3. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Kengele imelia, lakini nani anaisikia?

    Tusije tukarudia kosa la kuachia watu wa hovyo meza za maamuzi ambayo matokeo yake yanaweza kutuathiri kama jamii. Jambo lingine ni kuwekeza sana elimu ya uraia na kutoa ufahamu zaidi wa misingi ya mfumo wa demokrasia kwasababu ni wazi kuwa raia wengi hawajui nini maana halisi ya neno...
  4. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Katiba: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayopendekezwa | Muundo wa Dola Lenye Mihimili Minne ya Kitaifa

    Napendekeza vyombo vya habari kuwa muhimili kamili kama mahakama au bunge. Vyombo vya habari vinatakiwa kuwa chini ya muhimili wake ambao hautaingiliwa na mbwa koko yoyote yule na viwe na uhuru wa kuandika ukweli wowote ule bila kuingiliwa na mamlaka au taasisi ambazo kwasasa ni wazi zipo...
  5. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Katiba: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayopendekezwa | Muundo wa Dola Lenye Mihimili Minne ya Kitaifa

    Katiba ya TANGANYIKA ipo wapi? Why tujadili katiba ya muungano wakati hakuna katiba ya TANGANYIKA?
  6. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Daah kwa hakika Mungu ana namna yake ya kufanya kazi!!.

    Huo muungano unanipa kichefu chefu sana. Tumeungana na majitu mabinafsi na yenye roho mbaya kupita maelezo.
  7. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Umezaliwa mwaka gani wewe?!🤔 2011 simu ya maana ilikuwa ni blackberry smartphones hizi za leo zilikuwa bado, mtandaoni ambao ulikuwa juu ni Facebook na haukuwa active kihivyo katika kushare taarifa. By then taarifa na umbea ulikuwa unapitia magazeti ya udaku Shigongo ndio alikuwa TikTok au...
  8. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Na ndio vizuri ili watanganyika wauchukie huu muungano takataka na kuufutilia mbali shenzi kabisa.
  9. Zemanda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

    Mpango ni kuishi hadi miaka 120 ndio maana kasema bado sana.
  10. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    Aiseeee ila ndugu zangu watanganyika,tuvumilie tu umebakia muda mchache. Hizi dharau tunazofanyiwa eneo la siasa Dawa yake inachemka.
  11. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    Imagine jokate aliyepiga picha na akina alikiba akiwa amevaa nusu utupu,alipanda stage za Fiesta na kufanya yake. Aiseee 😂 😂 😂 😂
  12. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Kazi yao ni kupewa posho na kuvaa yale mavazi kama kenge kazi yao wanayoijua ni kurukisha kichura chura raia wema kwa makosa ya kupuuza, ukiwauliza wanachofanya wenyewe hawaelewi. Ila tumejifunza kwakweli. Kuanzia sasa umakini utaongezeka.
  13. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zimeshindwa Kukopesha Flagship Phones?

    Kuna dada nitakupa namba yake yupo kwenye hizi kampuni za hiyo mifumo.
  14. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Shayo apongeza serikali kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi kwa kuanzishwa safari za ndege za Moja kwa moja

    Urusi kuna fursa gani kwaajiri ya watanganyika? Wao wanaweza faidika na madini yetu, nuclear,gesi na mafuta. Sisi tutapata nini in exchange?🤔
  15. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zimeshindwa Kukopesha Flagship Phones?

    Ipo hadi sasa ila kwa corporate officials sana ndio utaona. Nenda katika page yao utaona simu zimewekwa ila wanaprogram ya kuziuza kwa mkopo kwa wateja wanaochukua kwa mkopo.
Back
Top Bottom