Recent content by zegebovu1

 1. zegebovu1

  Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

  Hao watoto ni wako kweli usikute umepigwa changa la macho ndo maana wanakuletea ujinga, kapime DNA usiwe mtumwa unafanya makosa sana kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe, wakati mwingine unapaswa kuwa aggressive kuwa dominant siyo muda wote hekima sijui busara sijui huruma
 2. zegebovu1

  Mimi sio mchoyo wa mawazo njoo uchukue na hili

  Biashara hii ukitaka kutengeneza hela ndefu inabidi u monopoly kusema ununue labda 80% ya mchele wote wa mbeya uwe main supplier Sent using Jamii Forums mobile app
 3. zegebovu1

  Umuhimu wa kuwa flexible katika kusaka pesa

  Umeongea vitu vya maaana sana hata kama hautaeleweka na wengi wachache watakaokuelewa uzi wako utakuwa wa msaada sana kwao Sent using Jamii Forums mobile app
 4. zegebovu1

  Vibali Vya Ujenzi

  na mimi nasubiria majibu
 5. zegebovu1

  Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

  mwache azae ulee mtoto kuwa na mtoto na mtu siyo lazima umwoe au uolewe naye kikubwa sikiliza moyo wako usifanyie majaribio life time commitment(ndoa)
 6. zegebovu1

  Aliniambia ananipenda sasa ananiomba pesa mara kwa mara

  mtoa maada acha kujitoa fahamu sasa hapo huelewi kuwa umefanywa bwege, unaangamia kwa kukosa maarifa
 7. zegebovu1

  Aliniambia ananipenda sasa ananiomba pesa mara kwa mara

  humu kuna vituko ukikaa lege lege unaweza kupigana
 8. zegebovu1

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Mkuu, ubarikiwe sana naku PM sasa hivi tuongee mambo yenye tija.
 9. zegebovu1

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Kweli kabisa mkuu nimepita ukanda wa bagamoyo nimeona namna mikorosho ilivyostawi na kubeba korosho nyingi ilihali haina matunzo kabisa ya kusafishiwa kutifuliwa wala haijawahi kupuliziwa dawa kwa ujumla zinakubali sana ukanda wote wa pwani.
 10. zegebovu1

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Huu uzi umekuwa wa msaada sana shukrani kwa wote waliochangia hasa waliotoa mawasiliano ya vituo vya utafiti, naliendele ntawatafuta. wenye taarifa msichoke kwa maswali ya member kama mimi ningependa kujua kama huu upande bagamoyo mpaka msata je hili zao la korosho linakubali?
 11. zegebovu1

  Kindly Reply To Know How to solve the financial risk

  where is your office sir
 12. zegebovu1

  Safari ndefu namna hii ni mateso, serikali ituletee ndege za bei nafuu

  nafikiria tu to turn it in a positive way ni abiria wangapi wanasafiri toka dar kwenda mikoani kila siku, fastjet walliona fursa wakaja wakapiga hela sana ila sijui kilichowapata sasa hivi japo siyo mtaaalam katika uendeshaji wa biashara ya usafirishaji wa anga, siamini kama kusafiri na ndege ni...
 13. zegebovu1

  Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

  hahaaaaaa umegusa mwake
Top Bottom