Nimesoma comments nimegundua ni Mimi tu ndo naeishi bila ndoa..wengine wote aidha wameoana Au wana subir ndoa... Ila sijawahi kujutia sababu nina furaha na ninajua kwanini tunaishi hivi.
Hello wapendwa mnaopenda kwenda na fashion.Ninatoa darasa online Kuhusu kutengeneza Kofia hizi zinazowapendeza Watoto na Akina mama.
Hauhitaji cherehani, kinachohitajika ni Uzi, sindano, Mkasi mzuri na kitambaa.
Darasa linafanyika kupitia What'sApp kila siku.
Hata Wanaume mnaweza waunganisha...
Mimi pia huota ndoto za shule. Tena secondary Na nilishapita huko miaka karibu kumi. Hua ninaota tumekaribia kufanya mitihani imebaki wiki moja au Mbili lakini Mimi somo LA hesabu Sifaham chochote. Nashikwa Na waswas nakuanza kutafuta namna ya kufundishwa Na wenzangu.
Ni mara moja nilishaota...
Pole sana dear..unaonekana sio mwandishi mzuri ila nimeyahisi maumivu yako.Mungu akupe uwezo wa kujikubali na kusamehe ili uendelee na maisha mengine ya furaha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.