Recent content by Zee1

  1. Zee1

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Ni utaratibu gani hataji kufuata ili nifungue dental clinic na kituo cha afya binafsi? naomba anayefahamu anisaidie utaratibu mzima.
  2. Zee1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Kila chenye,mwanzo lazima kiwe na mwisho, Kuna siku isiyokuwa na jina, kila kitu kitakuwa sawa, lazima kwenye jamii yeyote au nchi yeyote Kuna ambao watateseka kwa ajili ya engine ili haki ipatikane.
  3. Zee1

    JamiiForums Tanzania Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

    Mtu muoga ni mbaya sana na hafai katika jamii, kujipendekeza ni janga kubwa sana! Kuwa wewe, hata remote huisha baterii
  4. Zee1

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    Wizara hii ituletee furaha .....! we are sick and tired kushangilia nchi za wenzetu ebo!
  5. Zee1

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Nchi imewekwa mfukoni na mhindi

    Kazi nzuri kamanda, kweli vijana wa chadema ni nouma.
  6. Zee1

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Rorya: Viongozi Wa Kitaifa Wanakiua Chama!

    Mtafurahi!
  7. Zee1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kafanya uamuzi sahihi. Haikuwa sawa Kairuki kujilipa posho ya TSH 25M kwa mwezi

    Nimefuatilia mjadala hapo awali nimegundua machache lakini kubwa zaidi, huyu mama she is not the one to blame, Kwani hakukuwa na watu wengine wa kufanya hiyo kazi mpaka akaitwe yeye kutoka nje ya nchi (Fikiria nje ya box acha kudumaza akili yako) jibu rahisi walikuwepo wengi tu! Kwa nini...
  8. Zee1

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akana kufanya biashara na Polisi

    Hahaaa haiwezi tokea hiyo, maisha yako yote
  9. Zee1

    JamiiForums Tanzania Meli za machinga zasababisha kupungua meli bandarini

    safari hii tutaheshimiana Tu mjini
  10. Zee1

    JamiiForums Tanzania Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Idiot Lowassa anatola wapi hao
  11. Zee1

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Mbunge Richard Mganga Ndassa kupandishwa kizimbani

    maneno ya midomoni hayawezi tafsiri nafsi ya mtu!
  12. Zee1

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa taarifa kuhusu msaada wa MCC kwa Serikali ya Tanzania

    lazima tuwe na shukrani hata kidogo! Nchi hii bila upinzani hawa Chadema watawala wangetuchapa hadharani.
  13. Zee1

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa 515 wagundulika katika mikoa mitatu

    cheap politics, Magufuli is different dimensions
  14. Zee1

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kenya, akiwemo Katibu Mkuu wa Nishati wadakwa bandari ya Tanga

    Old days are over Kenyans, I'm not afraid to say so.
  15. Zee1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mchochezi

    duh Kuna watu hamnazo kabisa, Dr Lwaitama hajapewa udr WA heshima. Watu wamesoma acha udandara arifu :mad:
Back
Top Bottom