Huu ni uwonevu sana au kwasababu ni msambaa? Alafu isitoshe jamaa alijipanga hadi boda ya msumbiji dah!! Kwa hili bosi wa sumatra rudisha moyo wako tunajua ni shinikizo na kama unataka kufanya kazi fanya kazi siyo kwa njia ya mtwara tu, kunanjia ya mwanza,arusha ,mombasa,dodoma, iringa,mbeya na...
Ilikuwa siku ya jnne 18/03/2014 nilienda hospital na kupimwa malaria,ila sikuambiwa kama nina malaria au sina nikaandikiwa dawa inayoitwa GINSOMIN ya Korean Panax Ginseng Extract na dawa nyingine ni OLFEN - 100 SR, Tangu nimeanza kutumia leo ni siku ya nne lakini ata unafuu sijaupata tena...
Asanteni kwa kutuelimisha matumizi ya over drive. Je hii D2 inatumika wakati gani? Na unavyotumia hiyo D2 over drive iwe OFF au ON?
Naomba kuwakilisha hoja.
Mimi ninawasiwasi na wajumbe, najua bunge limeja jaa wasomi wengi na waelewa ambao tuna wakubali, lakini kwahili la kualibika kura saba bado sijalipatia ufafanuzi tena linatia haibu sana. Ongera mh sitta kwa ushindi.
Kuna msichana mmoja ambaye anakaa morogoro kilosa alikuja kunitembelea wakati wa kuondoka nilimsindikiza mpaka ubungo sasa wakati narudi ndiyo nika gundua simu zangu azipo kwenye gari nikahisi niliziacha mjengoni kufika mjengoni sijaziona, ikabidi nitumie sim ya mdogo wangu nikampigia akaniambia...
Chakujiuliza kwanini watoto wale wawili wameachiwa kwa kigezo kipi!? Na waliukumiwa kwa kigezo kipi!? Je babu seya alikuwa hana housegirl au houseboy? Kwa nini hawakuojiwa wala mkewe ambaye alikuwa anayaona hayo maovu na kuyafumbia macho. Kwa hili mahakama itakuwa haija tenda haki, nahao watoto...
Naomba kujuzwa nimeibiwa sim tatu moja ya Huawei Y300, Nokia X2 na Nokia Asha 320. Je nifanyeje ili nizipate maana nasikiaga tu kwamba hizi smartphone ikiibiwa unaweza ukaitafuta. Naomba kuwakilisha waungwana wenzangu naitaji majibu mazuri kwa wana jf wenye kuelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.