Ameandika Dotto Bulendu
Unakumbuka kupindi kile?
1.Wafanyabiashara wanauawa,jeshi la Polisi linatoa taarifa ya Kuwa walikuwa Ni majambazi,Gazeti linaingia kazini na kusema "Waliouawa siyo majambazi bali wafanyabiashara wa madini" .Hakika zamani ilikuwa raha.
2.Anatekwa Kiongozi wa madaktari...
THERE YOU ARE.....naona watu wanaangalia upande mmoja tu....haya mambo ya familia MUATHIRIKA MKUU ALIKUWA MENGI kwanza hatujui kwa nini walitalakiana na mke wa kwanza,lkn pia issue ya kumpangia mzee aoe nani hapa lazima ndiyo mgogoro ulipoanzia...familia nyingi za kiafrika hupenda kuingilia...
KATIKA HALI YA KAWAIDA WATOTO HUWA WANASIDE NA MAMA HILI LIPO WAZI,kama kulikuwa na TALAKA maana yake ni kuwa MALI ILIGAWANYWA...Mzee Mengi sio mjinga aliiona mgogoro uliopo lakini sababu ameshazaa watoto wawili,ilibidi awalinde na mama yao pia kwa KUANDAA WOSIA
Ninachoamini pia ni kuwa MENGI alijua kabisa kuwa mapacha wake watapata tabu pindi akifa,alijua aina ya ndugu na familia aliyonayo lakin kubwa alijua mgogoro alioutengeneza baada ya kuamua kumuoa J...Naamini mahakama itasema WOSIA UNAUHALALI GANI
Numbisa,
Nafikiri pia hujasoma sawa sawa hayo mahojiano...umesahau kuwa hakuna sehemu amesema anataka MALI YOTE,PIA UMESAHAU KUWA WOSIA HAKUANDIKA YEYE.LAKINI KUBWA KATIKA MAELEZO YAKE AMEELEZA MARA NYINGI AU AMERUDIA MARA NYINGI KUELEZA KUWA NDUGU PIA WAMSAFISHE MENGI YAANI WASIMSEMEE MABAYA...
Nimesoma COMMENT ZA watu...ila sisi binadamu tunaroho za KUTU TENA KUTU HASWAAAA ,BI dada hakuwa side chick hilo lieleweke ,Bi dada hakumtongoza MENGI hilo pia lieleweke HAWA WALIKUWA WANANDOA.
Tunasahau kuwa Bi dada anawatoto na MENGI HIVYO IMEKUWA KWETU KUAMINI TU KUWA BI DADA AMEAMUA...
Kenya unafata English Medium ? jwhat is English Medium ? come on English medium zipo bongo chungu mbovu na walimu ni hao wa Kenya na waganda ,,,Tuzungumzie mtaala wa Elimu sio Medium of instruction ya elimu....jamani tusichanganye mambo hapa,karne hii unampeleka mtoto Kenya kufuata English...
Zipo shule nzuri Tanzania na kwa umri wa mtoto sio vyema akaenda kusoma nje katika umri huo...bahati mbaya sana watanzania wengi hatujui kutofautisha mitaala inayotolewa shule zilizopo TZ. WENGI TUNAWAPELEKA WATOTO ENGLISH MEDIUM TUNASEMA WAPO INTERNATIONAL SCHOOL.
Ipo hivi: watu wanafanya...
nusuhela,
Aiseee umeongea point, mfano nina laini nne tayari kwa matumizi yangu binafsi,lakni nahitaji pia kuwa na laini ya NYUMBANI ili niweze kuwasiliana na wanaobaki nyumbani, yaani hapa naona kama hizi sheria zipo kwa malengo mahususi na sio kusaidia watu
umeona eee yaani just imagine Mtu anasema simple tu tumuachie Mungu,,,,na ndiyo maana hata tuhuma alizopewa BASHITE tunaziona za kawaida yaani mtu anatuhumiwa kwa kudhulumu haki ya watu ya kuishi haki ya kuishi...leo Bashite na wapambe wake wanatanua barabarani na maofisini huku kuna watu wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.