Recent content by zedonez

  1. zedonez

    PUBLIC ENEMY # 1. ( BABY FACE NELSON)

    Stori hii inatufundisha nini ?
  2. zedonez

    Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

    Hii social media hazijawahi kumuacha MTU salama
  3. zedonez

    Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

    Kumekuwa na mambo ya kijinga sana kwa wasanii wetu yanayoendelea. Hivi siri za ndani zinaulazima gani kuzianika nje ??
  4. zedonez

    Makao Makuu CHADEMA: Polisi wavamia na kukamata Wanachama waliovalia T-shirt za "Pray for Lissu"

    Tunapo elekea nikubaya sana. Mioyo ya watu ikishazoea hii mikimiki ndio watajuwa kama Nguvu ya watu ni kubwa kushinda hao wanaowatuma
  5. zedonez

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Rooney ndio alikuwa anakizizi cha kuwazuia united wasiendelee kushinda walipomtoa tu. Mvua ya magoli ikawanyeshea
  6. zedonez

    Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    Wale ndugu zetu wa karibu mtupe details za gari hilo
  7. zedonez

    UNGUJA: Kituo cha Mafuta kinachomilikiwa na Bakhresa chateketea kwa moto

    Sheli ya United Petroleum (Bakhressa) pale kinazini Unguja inaungua moto.
  8. zedonez

    Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

    Kiongozi mkubwa kama wa jeshi anatakiwa kuwa last man to speak. chochote kikitokea akapingwa na watu juwa hakuna atakae sikilizwa tena. that is total wrong mtu kama yeye kufanya press conf
  9. zedonez

    Viwango vya soka vilivotolewa leo na FIFA

    FIFA huwa wana hisabu point unazopata kila mechi na magoli ndio Rank inaongezeka. Mawazo yangu TFF wanatakiwa waishauri serikali kurudisha michezo mashule ili soka letu likuwe. chukulia mfano Vilabu vyetu vya simba na yanga mchezaji anaesifiwa sana kwenye timu hizo mbili basi sio Mtanzania.
  10. zedonez

    Ligi kuu ya Vodacom kuendelea kesho

    Msimu huu fikra zangu zinaniambia kuwa Simba ndio Bingwa. Lete mawazo yako na wewe tujuwe
  11. zedonez

    Viwango vya soka vilivotolewa leo na FIFA

    Kwa kiwango hilki lini tutakwenda mbele ?
Back
Top Bottom