Recent content by Zedikaya

  1. Z

    DED Chato kuwaamuru watumishi kukimbia mgambo

    Natangaza kuwa mimi niko against na agizo hilo, sababu:- 1. Iko kinyume na mkataba wa kazi. 2. Namna ya uendeshaji wa mafunzo ni kihunihuni ikiendana na kuimba nyimbo zenye lugha chafu 3. Tumeshinikizwa bila kupewa maelezo yoyote, 4.nnafanya mazozezi binafsi, 5. Cheti cha mgambo...
  2. Z

    Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    Mwaka 2002 nimehitimisha pale, nnlimkuta Milinga akaniacha na yamisebo,wapi mwl njanga,luoga, mashine kanyengele, mzee pocho, .....siku nyingi sana!
  3. Z

    Online registration System (ORES) kujisajili mtihani wa CSEE 2014

    Nimejaribu kufanya online registration kama Private Candidate, nikawa nimefikia hatua ya ku-upload Photo nikaona wametoa warning kuwa photo isizidi Kb 30, nifanyeje hali passport size yangu ni MB 2: natanguliza shaukrani
  4. Z

    Online Registration System (ORES)

    ahsante mkuu ngoja nijaribu
  5. Z

    Tangazo la epuka michepuko

    Yenye sura mbovu yanachepuka sana, yanahonga sana kuona kama yanapendwa na wanawake wengi, acha litumike tu, muache tu!!
  6. Z

    Online Registration System (ORES)

    Nimejaribu kufanya online registration kama Private Candidate, nikawa nimefikia hatua ya ku-upload Photo nikaona wametoa warning kuwa photo isizidi Kb 30, nifanyeje hali passport size yangu ni MB 2: natanguliza shaukrani
  7. Z

    Itv na ziara ya katibu mkuu wa cdm

    Kinana katumia nguvu na pesa nyingi kujinadi kwenye vyombo vya habari lakini ni zero, haeleeweki ,na hana mvuto wa kusikia zaidi ya kujaza utumbo kwenye vyombo vya hbr, CDM Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,
  8. Z

    Sipendi kutoa au kupokea shikamoo kwa agemate wangu,

    huwa nahisi kuharibiwa sana siku na natokea hata kutomchangamkia na kumuona adui, zaidi naona Wakati wangu wa kufurahia ujana umeisha ingawa siutumii vby, na sasa ni mzee,
  9. Z

    Sipendi kutoa au kupokea shikamoo kwa agemate wangu,

    nami hiyo ndo inaniongezea hizi shikamoo
  10. Z

    Sipendi kutoa au kupokea shikamoo kwa agemate wangu,

    Nna matatizo au, kwa sasa nnaelekea kufunga miaka 29, mimi ni mrefu, nimejaa.looking very fresh, kwa mazingira nnliyopo ya bush kidogo, maisha yangu nahisi ni ya kutamaniwa kidogo yaan kiuchumi niko fiti kiaina,nnajiheshimu sana na watu wengi wananiaminia sana kuwa ni mtu mwadilifu sana...
  11. Z

    Wadada semeni ukweli, mnampenda nani kati ya hawa wanaume?

    Urefu,(Invisible funga hii mada)
  12. Z

    Excell 2003

    Habari wakuu, tafadhali naomba msaada wa namna ya kupanga matokeo ili mwanafunzi wa kwanza aanze namba moja hadi wa mwisho kwa wingi wa alama zao,wako wanafunzi 302, hapa nshaandika majina yao, alama zao kwa masomo 11,jumla ya alama, wastan,nafasi (position/rank) sasa nahitaji yajipange...
  13. Z

    Neggirl anusurika katika Ajali ya gari.

    Jiite negwoman,sio neggirl. Bwana yu mwema!
  14. Z

    sakata la kukutwa na kadi za NMB Bank..Polisi wakanusha hakuna wizi uliotokea

    Wilaya ya chato kuna MWIPAO, SM INVESTMENT, & devis, hawa ndo wanatuokoa huku, hadi sasa kuna kadi yangu SM investment.
  15. Z

    Mkurugenzi Halmashauri ya Chato alipa mishahara ya bure kwa walimu

    Maafisa elimu wengi ni miungu watu, ni walimu wanaowatesa walimu wenzao, DED Chato okoa haraka raslmali inayopotea bure
Back
Top Bottom