Recent content by zedga

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

    Asalam aleykum, nauliza kwamba "ni mambo gani yenye kuzunguza kwa mfungaji swaumu ya ramadhani?"
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuondoa 'bablishi' kwenye nguo (how to remove bubble gum on clothes)

    Pia unaweza kutumia barafu kuweka sehemu iliyoganda kisha unabandua tu kiulaini Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taja mabeki watatu bora wa wakati wote Duniani

    Mathius Summer beki bora world cup ya 1998 kutoka ujeruman
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shega tu -Dark Master ft Noorah Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri kwa kukuza vipaji vya mtoto

    Mimi nadhani kwa mifumo ya shule za Montessori naona vinampatia Mtoto fursa zaidi ya mifumo ya elimu iliyopo nchini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi wamiliki wa TV stations sasa hivi biashara ikoje wakati hazionekani katika ving'amuzi vikuu?

    Kwani jamani mwanzo si ilionekana kuna channel za ndani zitaonekana isipokiwa kutakuwa na channel zenye maudhui ya kulipia . kwa king'amuzi cha continental ilipaswa local channel ziwezioneshwa free hata usipolipia kwa mwezi ilaaa jiii. Hii nchi bwana.
  7. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania External hard disc anguka na kusabisha kutokusoma

    Umaanisha nn hapo kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania External hard disc anguka na kusabisha kutokusoma

    Umaanisha nn hapo kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania External hard disc anguka na kusabisha kutokusoma

    Kiongozi siwezi kupata msaada kabisa
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania External hard disc anguka na kusabisha kutokusoma

    GB 750
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania External hard disc anguka na kusabisha kutokusoma

    Samahani wanajukwaa nimepatwa na tatizo la external harddisc inaukubwa GB 7500 yangu kuanguka na kusabisha kutokusoma. Nimewaona mafundi kadhaa sijapata msaada wowote. Kwa mwenye ufahamu plz naomba msaada kurejesha data zangu muhimu.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Toa neno kwenye hii picha!

    Kulea mimba na changamoto zake kwa wababa
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Nikiripoti hapa Moro TURIANI bado tupo gizan
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB yaja na huduma ya mkopo ya "NMB Salary Advance" kwa wafanyakazi

    Huduma yenyewe imekaa kikuda inamuhitaji mteja mwenye mkopo ndo anapewa lasivyo wengine haiwahusu.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Hii kada wanajiona wako juu ya sheria

    Equalizer uchwala jambo DOGO linakushinda
Back
Top Bottom