Recent content by Zecomedy

  1. Z

    Nawezaje kuiokoa familia yangu na mateso ya jini huyu?

    Pole sana ndugu yangu. Nami naungana na wengine kushauri. Hakuna msaada kwingineko ndugu yangu MSAADA UTAUPATA KWA JINA LA YESU PEKEE. Tafuta huduma ya maombezi haraka. tatizo ulilosimulia ni dogo sana na wala si la kuchukua masiku. Jitoe kwa YESU wewe na mkeo nanyi mtapata kuokolewa na uponyaji.
  2. Z

    Naomba msaada nataka kuagiza gari

    Chukua tahadhari mkuu website zingine matapeli, ukishalipa wanapotea. Mimi nishalizwa na sikuweza pata msaada hata kwa ubalozi wa Japan hapa nchini hawakuwa na la kufanya. Chukua tahadhari sana na website gani una deal nao.
  3. Z

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Dumila ni mahali pa zuri sana kwa shughuli hii. Biashara hii ni zuri sana na itakulipa, wala hutahitaji kuanza na hela yote hiyo, waweza anza kidogo huku ukisoma mzaingira na kuziea mazingira. Nakushauri uanze na kutafuta soko la maziwa ya kiwango hicho cha uzalishaji maana hapo huwa ndo...
  4. Z

    Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Apolinary mbona hoja yako nyepesi, toa sababu za mzingi kwa nini wadhani hivyo?
  5. Z

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Nimependa maada hii. Right business consultancy, kama mnaweza kutoa hata kwa kifupi juu ya taratibu kama alivyouliza mwana jf pakamweusi ingependeza sana kwa manufaa ya wengi.
  6. Z

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hii nzuri sana nimeipenda. Ndugu yangu ntakutafuta kwa maelekezo zaidi.
  7. Z

    Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

    Mkuu naomba ukiwa umeshaanza shughuli hii utoe mrejesho, natamani pia kingia katika biashara hii.
  8. Z

    Picha. Nimeanza leo kufuga kwa mara ya kwanza ushauri plz.

    Big up sana ndugu yangu kwa kuanza kufuga. Mimi ninafuga kuku wa mayai pia, nilianza January mwaka jana, nilianza na kuku 600 na hatimaye kuongeza wengine 2,000. Wote wanataga vizuri sana. changamoto za hapa na pale hazikosi ila ikishaingia katika business hii huwezi kutika kirahisi, kwa sababu...
  9. Z

    Statoil plans East Africa LNG plant after Tanzania gas find

    Political risk is one of the biggest factor to be considered for FDI decisions to a host country. Yatupasa tuelezana ukweli watanzania, yaliyofanyika mtwara yanaweza kuwaogopesha wawekezaji na hatimaye matarajio yetu ya kunufaika na hii rasilimali ya gas kutotimia. Tunaomba serikali yetu ifanye...
  10. Z

    Mashamba yanauzwa Morogoro

    Asante sana mkuu hii habari, mimi ninampango wa kulima mahindi mwakani katika kiwango cha kibiashara, kama wewe unayafahamu maeneo haya waweza kutoa maelezo zaidi kuwa yanafaa kwa mazao gani haswa na taarifa za bei zitakuwa msaada mkubwa sana.
Back
Top Bottom