Recent content by Zebushishi

  1. Z

    Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapo kisanga sion barabara angalien usisambae
  2. Z

    Mtoto wa Simbachawene alimwa faini ya tsh. 250,000/=

    [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95]
  3. Z

    Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    2022 techonolojia kubwa kuliko 2012 afu wameshindwa kufanya siku moja... Inainekana wameajiri watu wachache
  4. Z

    Hawa jamaa vipi?

    Washkaj nao hawapo makinj wangeacha hvo vikoti kwny gari
  5. Z

    Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    Wamepewa tablets kampun gani apple au samsung...?
  6. Z

    Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

    Hzo gari za namba B ambazo kali ni zile za juu nying cruiser na min SUV chache ka RAV4 na ESCUDO Ila kwa utunzaji wa magari wa kibongo wa bila service za kueleweka namba B nying zina hali mbaya kuanzia bodi hadi injini na sio B tu had D za mwanzon.. Kwa hyo tuache stori za gari sio namba...
  7. Z

    Haya wale wa no E navuta ndinga, endeleeni kushangaa

    Wazee wa D wamepaniki na chuma yng hapa DE ngoja nisikilizoe upepo kwanza.... Naona EAA ipo 300+
  8. Z

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Ishafika 300+ aseee.... Mie pia nilisema mwakani hahaha Kikubwa namshukuru Mungu kwa uhai na mie nipo wakati mamba E inatoka
  9. Z

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Cha kufurahisha namna D imekaa miaka 8 kamlii mana ilianza 2014 tarehe kama hzi
  10. Z

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Uzi unafungwa rasmi wiki ijayo hapo
  11. Z

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Dah sijategemea herufi zinakata fasta yan herufi moja wiki... Mwezi tunafunga na E wakuu
  12. Z

    Maji yakipwa huenda wapi?

    Kwann sasa maji ya ziwa hayaondoki na kurudi
Back
Top Bottom