Recent content by zebraa66

  1. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Duuh[emoji15] [emoji15] ! Mkuu wewe mtu wa kale nini?
  2. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Mbona mkuu tukipewa TIGO na madada zetu twala ?tuache unafiki hakuna biblia au msahaf ulio kataza
  3. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Hivyo ni vitu kidogo kwa maendeleo ya nchi
  4. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Wameyafungia macho hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Hapo namuunga mkono Raisi kwa kazi nzuri bila kuangalia sex life issue muhimu wajibu wa kazi anaujua
  6. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Aisee safi sana Raisi kama huyo inabidi awepo bongo sio kila kitu nitawashughulikia umekuwa nani wewr mungu?
  7. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Waaelimishe hao wanahitaji
  8. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Sioni tatizo akiwasaga mbona wewe wala ngono?
  9. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Siku za mwisho kwako mkuu dunia mbele kwa mbele
  10. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] amka mkuu tuko 2017 bado uko mwaka gani mwenzangu?
  11. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    Daah zamaani ni kawaida tu mkuu wabongo tunajificha kumbe chini chini ngoma mbele kwa mbele
  12. zebraa66

    SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

    "The world changes"ni sisi wabongo ooh msagaji halafu kwenye kuta nne unajua mwenyewe ukitoka nje twajifanya waswahilina na kashfa kibao elimikeni ni mambo ya kawaida hayo kwa dunia ya sasa hata mtoto akizaliwa habaki kuwa na mwezi anakuwa
  13. zebraa66

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Hata wavuta unga walisema hivyo hivyo tukawaona wamerudi inabidi uwe mkweli na maamuzi yako na pole sana we learn by our mistake
  14. zebraa66

    Mliobadili ID....

    Utajijuu
  15. zebraa66

    Alshabaab wajilipua ndani ya mgahawa wa chakula kwenye huu mwezi wa ramadhan

    Wangekuja na bongo kujilipua tuna viongozi wasio na vyeti
Back
Top Bottom