SERBIA: Rais amteuwa Waziri Mkuu msagaji

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,472
2,000
Ana-Brnabic-1200x700.jpg

Rais wa Serbia amemteua mwanamke ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa waziri mkuu katika jimbo la kihafidhana la Balkan.

Ana Brnabic alichaguliwa na rais mpya , Aleksandar Vucic. Kuidhinishwa kwake na bunge kutakuwa rasmi kwa kuwa chama chake na washirika wake wana wajumbe wengi.

Miaka michache iliopita uteuzi wa mtu wa mapenzi ya jinsia moja usingedhaniwa.
Lakini Serbia inayosubiri kujiunga na bara Ulaya imeonyesha ithibati kwamba kuna ongezeko la uvumilivu miongoni mwa raia wa eneo hilo.

Hatahivyo kiongozi wa chama kidogo katika muungano wa rais huyo Dragan Markovic Palma wa muungano wa Serbia alisema kuwa bi Brnabic ''sio chagua lake la waziri wake mkuu''.

Bi Brnabic atajiunga na idadi ndogo ya mawaziri wakuu ambao ni wapenzi wa jinsia moja ili kuongoza serikali barani Ulaya ikiwemo Leo Varadkar wa Jamhuri ya Ireland na Xavier Bettel wa Luxenbourg.

Wadhfa wa waziri mkuu katika utawala huo utakuwa na uwezo hafifu.

Chanzo: BBC
 
Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,769
2,000
Hapo ndipo ninapoipa nguvu BIBLIA
pamoja na mkanganyiko mwingi ndani yake
daah siku za mwisho!
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
Jamani jamani huu sasa ni mwisho wa dunia.Si atawasaga mawaziri wenzie wanawake??
 
ishiveti

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,026
1,500
kwani sio binadam,,,hana tofauti na mvuta bangi,,,mtumia unga,,,utoboa hereni,,,mvaa mlegezo,,,mdokozi...mwasherati,,,,,,,waacheni watu waishi maisha yao kwani huko ni tanzania,,,maisha ya mtu binafsi yanakuhusu nini,,,,shida watu hawana kazi za kufanya rais naomba action ya mwaka mpya wa fedha watu wasio na ajira rasmi warudishwe vijijin wakalime hasa umri 15 to 30
 
zebraa66

Senior Member
Jan 21, 2016
199
225
View attachment 524873
Rais wa Serbia amemteua mwanamke ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa waziri mkuu katika jimbo la kihafidhana la Balkan.

Ana Brnabic alichaguliwa na rais mpya , Aleksandar Vucic. Kuidhinishwa kwake na bunge kutakuwa rasmi kwa kuwa chama chake na washirika wake wana wajumbe wengi.

Miaka michache iliopita uteuzi wa mtu wa mapenzi ya jinsia moja usingedhaniwa.
Lakini Serbia inayosubiri kujiunga na bara Ulaya imeonyesha ithibati kwamba kuna ongezeko la uvumilivu miongoni mwa raia wa eneo hilo.

Hatahivyo kiongozi wa chama kidogo katika muungano wa rais huyo Dragan Markovic Palma wa muungano wa Serbia alisema kuwa bi Brnabic ''sio chagua lake la waziri wake mkuu''.

Bi Brnabic atajiunga na idadi ndogo ya mawaziri wakuu ambao ni wapenzi wa jinsia moja ili kuongoza serikali barani Ulaya ikiwemo Leo Varadkar wa Jamhuri ya Ireland na Xavier Bettel wa Luxenbourg.

Wadhfa wa waziri mkuu katika utawala huo utakuwa na uwezo hafifu.

Chanzo: BBC
"The world changes"ni sisi wabongo ooh msagaji halafu kwenye kuta nne unajua mwenyewe ukitoka nje twajifanya waswahilina na kashfa kibao elimikeni ni mambo ya kawaida hayo kwa dunia ya sasa hata mtoto akizaliwa habaki kuwa na mwezi anakuwa
 
zebraa66

Senior Member
Jan 21, 2016
199
225
kwani sio binadam,,,hana tofauti na mvuta bangi,,,mtumia unga,,,utoboa hereni,,,mvaa mlegezo,,,mdokozi...mwasherati,,,,,,,waacheni watu waishi maisha yao kwani huko ni tanzania,,,maisha ya mtu binafsi yanakuhusu nini,,,,shida watu hawana kazi za kufanya rais naomba action ya mwaka mpya wa fedha watu wasio na ajira rasmi warudishwe vijijin wakalime hasa umri 15 to 30
Waaelimishe hao wanahitaji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom