Recent content by ze inzi

  1. Z

    Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

    Arusha Daaaaaaaah, is the best
  2. Z

    Kuna ulazima dhana ya "Human Evolution" ifutwe shule ya msingi hadi form six

    Ndiyo ifutwe sababu inampa wakati mgumu mtoto kushindwana kuelewa huku akibaki na maswali Mengi, nadhani iwekwe Elimu ya juu ambapo mwanafunzi anakuwa na uelewa mpana wa kupambanua hoja : mwana theory mmoja akasema "don't teach all my theories to innocent children"
  3. Z

    Starehe tamu kuliko zote

    Ule mlio wa ATM MACHINE Daaaah
  4. Z

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Wangu 2 years Jana anaangalia juu akaniambia (Baba nani anafua kule juu ona mapovu ni mengi) Note: mapovu-mawingu
  5. Z

    Sitaki kuamini kama mpenzi wangu niliyempenda kwa moyo wote ndio ameniacha rasmi

    Pole mkuu, niko katika situation kama hiyo inauma kuliko msiba, Naamini mungu kaniepusha coz dalili hazikuwa nzuri toka mwanzo, Sijakataa tamaa naamini pia yupo ambae tutaridhiana
Back
Top Bottom